Milio inayosikika Magomeni ni ya nini?

Jamani Npo kitaa Cha magomeni Kuna milio naiskia Kwa mbali sijui ni milio ya Nini Risasi sio Risasi sijui ni Nini mwenye kujua atujuze kabla hatujaanza kutimua mbio!!
Nilikuwa chuga/arusha jana, kuna milio hadi tulibadili uelekeo tukajua labda machinga wamekinukisha, kumbe wahindi. hivi wameomba kibali kutishia watu hivyo?
 
Nimeskia nikatoka nje, nakuta watu wako vijiweni wanapata gahawa nikarudi ndani nikatulia
 
umeandika kichafuchafu kama hauna akili, sijui umri wako, kama umri wako ni mkubwa basi utakuwa unatoka kwenye familia yenye malezi machafu sana.
Aisee! Maandishi tu yanakupa kiwewe?Angewasilisha vitu vyenyewe "fizikali" si ungelazwa hospitali?Tupo tofauti sana.
 
Yaani mbongo akisikia sauti ya risasi badala ya kukimbia anaenda kuifuata ajue kuna nini.

Wabongo majasili sana.
 
Nilikuwa chuga/arusha jana, kuna milio hadi tulibadili uelekeo tukajua labda machinga wamekinukisha, kumbe wahindi. hivi wameomba kibali kutishia watu hivyo?
Hawakuanza leo ni kila mwaka hilo linajulikana kuwa ni moja wapo katika ibada zao utashangaa sana ikiwa hujakulia mjini
 
Back
Top Bottom