Miliki kifaa cha internet yenye kasi ya 21mb's na kinachotumia 4G lite kutoka kampuni ya smile.


sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,202
Likes
250
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,202 250 180
Jipatie mifi na routers kutoka smile kwa bei nafuu kabisa ambampo utapata GB5 bure kwa mwezi

Piga 0766-195115
img_20190109_190551-jpeg.990640


Sent using Jamii Forums mobile app
 
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,202
Likes
250
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,202 250 180
Karibuni smile kwa huduma za internet yenye kasi ya 4g lite ambayo hutojutia kuitumia
Piga 0766195115
Au tembelea tovuti yetu ya:
Www.smile. co.tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
5,987
Likes
8,131
Points
280
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
5,987 8,131 280
Mwanzoni jamaa wa SMILE walikuwa vizuri sana lkn sasahivi nahisi ubabaishaji umeingia. Mwezi uliopita nilijiunga na bundle la 85,000 Unlimited lakini ajabu hata kabla mwezi haujaisha kifurushi kikakata. Nikaongeza 14,500 cha wiki Unlimited tena ngoma two days imeisha. Jana asubuhi nimeunga cha masaa 24 unlimited 4,500 nacho kilifanya kazi muda mfupi tu baada ya kuunganisha. Ajabu leo asubuhi ilikuwa ni miyeyusho tu. Hadi kazi zinakwama. HAO NDO SMILE

Sent using Jamii Forums mobile app
Wooooiiiii sikitaki ntagombana na Voda wangu hawahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
10,811
Likes
13,014
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
10,811 13,014 280
We unaona fair kuuza 1GB ya mwezi sh.5000 wakati kwa speed yenu ni kifurushi cha masaa tu. Huoni kuwa ni ujambazi mkubwa mnafanya. Aisee biashara za internet bongo bado sana.

Wenzetu unalipa 30,000 tu kama ilivyo bill ya maji unatumia utakavyo, hata ukikesha youtube week nzima au ukaacha smart tv online streaming shows GB tani yako hela hio hio na network hukatiwi hamna bundle kuisha.
 
Hon Nkundwe

Hon Nkundwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Messages
2,731
Likes
1,449
Points
280
Hon Nkundwe

Hon Nkundwe

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2014
2,731 1,449 280
Smile mna bei sana mimi yangu nimeipaki gharama zimenishinda
 
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,202
Likes
250
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,202 250 180
Kiongozi ukiona speed ya 21mbs kuna inawahi kuisha vifaa vyetu vina option ya kupunguza speed kama kifaa chako kinakupa shida hiyo fika katika ofisi za smile ulizo karibu nazo
We unaona fair kuuza 1GB ya mwezi sh.5000 wakati kwa speed yenu ni kifurushi cha masaa tu. Huoni kuwa ni ujambazi mkubwa mnafanya. Aisee biashara za internet bongo bado sana.

Wenzetu unalipa 30,000 tu kama ilivyo bill ya maji unatumia utakavyo, hata ukikesha youtube week nzima au ukaacha smart tv online streaming shows GB tani yako hela hio hio na network hukatiwi hamna bundle kuisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,202
Likes
250
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,202 250 180
Karibuni sana wakuu kwa vifurushi vizuri kutoka smile kwa gharama nafuu kabisa
Piga 0766195115

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,202
Likes
250
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,202 250 180
Mkuu kwema shukrani sana ila kwa ushuri naomba upunguze speed ya kifaa chako au inawezekana ukawa unashea password yako na watu wengine bila kujua ahsante sana karibu smile kwa huduma bora za internet
Mwanzoni jamaa wa SMILE walikuwa vizuri sana lkn sasahivi nahisi ubabaishaji umeingia. Mwezi uliopita nilijiunga na bundle la 85,000 Unlimited lakini ajabu hata kabla mwezi haujaisha kifurushi kikakata. Nikaongeza 14,500 cha wiki Unlimited tena ngoma two days imeisha. Jana asubuhi nimeunga cha masaa 24 unlimited 4,500 nacho kilifanya kazi muda mfupi tu baada ya kuunganisha. Ajabu leo asubuhi ilikuwa ni miyeyusho tu. Hadi kazi zinakwama. HAO NDO SMILE

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,202
Likes
250
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,202 250 180
Hiki ni kifaa chetu aina ya mifi
Kina uwezo Wa kutumia watu kumi kwa wakati mmoja
Kinatumia speed ya 21mbs
Kina cover eneo la mita kumi
Kutoka kifaa kilipo
Kinatumia 4g lite
Betri yake inachukua masaa kumi(betri last 10hrs
Pia kina option ya kupunguza speed

Karibuni sana smile kwa vifaa bora vya internet kwa gharama nafuu karibuni sana.
img_20190110_100921-jpeg.990803
img_20190110_100929-jpeg.990804
img_20190110_100937-jpeg.990805
img_20190110_100949-jpeg.990806
img_20190110_101026-jpeg.990807
img_20190110_101232-jpeg.990808
img_20190110_101219-jpeg.990809


Sent using Jamii Forums mobile app
 
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,202
Likes
250
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,202 250 180
Karibuni sana smile kwa vifaa vya internet vyenye kasi ya haraka zaidi na vyenye ubora Wa hali ya juu pia waweza kupiga simu nje ya nchi kwa kutumia internet ya smile kwa gharama nafuu kabisa.
img_20190110_101337-jpeg.991443
img_20190110_101323-jpeg.991444
img_20190110_101232-jpeg.991446
img_20190110_101219-jpeg.991447
img_20190110_101036-jpeg.991448
img_20190110_101026-jpeg.991450
img_20190110_100921-jpeg.991452
img_20190110_100850-jpeg.991453
img_20190110_100638-jpeg.991454
img_20190110_100655-jpeg.991455
img_20190110_101140-jpeg.991456


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,841