Miliki kifaa cha internet yenye kasi ya 21mb's na kinachotumia 4G lite kutoka kampuni ya smile.


sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,214
Likes
251
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,214 251 180
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu www.smile.co.tz ni kampuni ambayo inajihusisha na kuuza modems za internet kwa gharama nafuu kabisa yenye kasi ya 21mb's megabites ambayo inakuwa inatumia 4g lite ambayo huto juta kutumia ukiwa nayo ofisini,nyumbani na sehemu yoyote ile ambayo internet inasumbua na pia ni njia ambayo itakusababisha kupiga simu nje ya nchi kwa gharama nafuu.

VIFAA VYA INTERNET TULIVYO NAVYO

1.MIFI
Hiki ni kifaa ambacho kinacho weza kutumika kwa vifaa kumi(10)kwa wakati mmoja kwa kutumia WiFi
Kwa mfano simu na computer mpakato.

Kinafanya kazi mita kumi(10)kutoka sehemu husika

Speed yake ni 21 megabytes

Berti yake kuisha inachukua Massa kumi(10)hrs

Bei yake ni 80,000

2.Router
Inaunganishwa katika vifaa 32 kwa wakati mmoja kwa kutumia WiFi

Inatumika mita(100) kutoka katika eneo kifaa kilipo.

Speed yake ni 21mb's

Berti yake kuisha inachukua Masaa kumi(10)hrs

Pia kifaa hiki unaweza kucharge powerbank

Kina port LAN 4kwamba kinaweza kutumika katika idara nne tofauti kwa wakati mmoja ambacho kinaweza kutumika katika vifaa 80 katika idara zote nne kwa wakati mmoja.

Kinatumia flash.

Kina tumia IP address ambayo hii IP address unaweza kuiunganisha kwenye simu yako na unapokuwa mbali na ofisini au nyumbani kwako unaweza kuona kila kitu kinacho endelea.

Bei yake ni 180,000


3.smart Router
Inatumika katika vifaa 57 kwa wakati mmoja

Inatumika m(100) kutoka kifaa kilipo

Berti yake kuisha inachukua Masaa kumi(10)

Inatumia speed ya 21mb's 4g lite.

Pia unaweza kucharge powerbank

Pia unaweza kutumia flash

Ina port LAN (1)kwamba inaweza kutumika katika idara mbili(2)tofauti kwa wakati mmoja.

Bei yake ni (220,000)

MIKOA TUNAYO PATIKANA:
1.Mwanza
2.Arusha
3.Dar-es salaam
4.Moshi
5.Dodoma
6.Mbeya na
7.Morogoro tembelea tovuti yetu www.smile.co.tz

NCHI TUNAZO PATIKANA
1.Tanzania
2.Congo
3.Nigeria
4.Uganda na
5.South Africa

Piga: 0766195115 call and wasap

Email: sirajimsilanga55@gmail.com

Piga tutakufikishia huduma popote pale ulipo.

NB:Tembelea tovuti yetu ya www.smile.co.tz kwa maelezo zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
9,293
Likes
11,325
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
9,293 11,325 280
Taja bei ya vifurushi hivyo vifaa vitatusaidia nini kama internet ni bei juu ama vinajiendesha kwa upepo bila data?
Hivi ni vizuri sana ndio natumia,havitumii vifurushi bali vinatumia upepo na joto kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
4,921
Likes
3,228
Points
280
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
4,921 3,228 280
mwakizega

mwakizega

Senior Member
Joined
Apr 7, 2015
Messages
171
Likes
57
Points
45
mwakizega

mwakizega

Senior Member
Joined Apr 7, 2015
171 57 45
Mwanzoni jamaa wa SMILE walikuwa vizuri sana lkn sasahivi nahisi ubabaishaji umeingia. Mwezi uliopita nilijiunga na bundle la 85,000 Unlimited lakini ajabu hata kabla mwezi haujaisha kifurushi kikakata. Nikaongeza 14,500 cha wiki Unlimited tena ngoma two days imeisha. Jana asubuhi nimeunga cha masaa 24 unlimited 4,500 nacho kilifanya kazi muda mfupi tu baada ya kuunganisha. Ajabu leo asubuhi ilikuwa ni miyeyusho tu. Hadi kazi zinakwama. HAO NDO SMILE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,214
Likes
251
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,214 251 180
We ndo mteja wa kwanza kulalamika hivi naomba ufike kwenye ofisi za smile ulizo karibu nazo wakutatulie hilo tatizo
Mwanzoni jamaa wa SMILE walikuwa vizuri sana lkn sasahivi nahisi ubabaishaji umeingia. Mwezi uliopita nilijiunga na bundle la 85,000 Unlimited lakini ajabu hata kabla mwezi haujaisha kifurushi kikakata. Nikaongeza 14,500 cha wiki Unlimited tena ngoma two days imeisha. Jana asubuhi nimeunga cha masaa 24 unlimited 4,500 nacho kilifanya kazi muda mfupi tu baada ya kuunganisha. Ajabu leo asubuhi ilikuwa ni miyeyusho tu. Hadi kazi zinakwama. HAO NDO SMILE

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,214
Likes
251
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,214 251 180
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,214
Likes
251
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,214 251 180
Taja bei ya vifurushi hivyo vifaa vitatusaidia nini kama internet ni bei juu ama vinajiendesha kwa upepo bila data?
Karibu sana smile Mkuu vifurushi vyetu ni vya bei rahisi sana nishaweka bei zake hapo karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2017
Messages
1,214
Likes
251
Points
180
Age
26
sirajj johnn

sirajj johnn

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2017
1,214 251 180
Karibuini sana wakuu piga 0766195115 ili uweze kupata huduma zetu tutakufikishia popote pale ulipo
img_20190109_190630-jpeg.990473


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,251,866
Members 481,917
Posts 29,788,467