INAUZWA Milango ya Mbao na Frame kwa Mbao za Mninga, Mkongo, Mbanda Kwa bei rahisi sana

Guru Master

Senior Member
Jan 14, 2017
176
1,000
Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana.

Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi.

Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox vidogo vidogo Tsh. 350,000

Mawasiliano zaidi 0714160222. Guru Master. Napokea order za Milango na Vitanda pia.

IMG_20210725_140937_492~2.jpg


IMG_20210725_140940_114~2.jpg


IMG-20210722-WA0033.jpg


IMG-20210722-WA0034.jpg
IMG-20210731-WA0016.jpg
IMG-20210730-WA0038~2.jpg
IMG-20210730-WA0037.jpg
IMG-20210727-WA0030.jpg
 

Guru Master

Senior Member
Jan 14, 2017
176
1,000
Sijui kwanini watanzania tunapenda sana ficha hizi bei za bidhaa...imagine amazoni au alibaba wanakwambia ukiipenda hii Tv njoo inbox...ni moja ya tabia za kitapeli..samahan kuchafua wall yako
Sijui umeona wapi pameandikwa njoo inbox. Labda tuanzie hapo. Isije ikawa ulikuwa na neno hili muda mrefu ukawa unatafuta na wewe utalizungumzia wapi.
 

chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,115
2,000
unapatikana mkoa gani, dodoma unaifikisha? kwa gharama yako (utanikata) usafiri wangu shida ni maliasili njiani.
 

Guru Master

Senior Member
Jan 14, 2017
176
1,000
unapatikana mkoa gani, dodoma unaifikisha? kwa gharama yako (utanikata) usafiri wangu shida ni maliasili njiani.
Napokuletea maana yake kila kitu ni juu yangu.nakufikushia sehemu ambayo unaweza kuja ichukua. Na kama upo karibu na barabara kuu nakufikishia site.
 

Guru Master

Senior Member
Jan 14, 2017
176
1,000
Kwa hiyo siyo wewe uliandika hii
Soma kwa utulivu nlichoandika. Halafu nambie kwa nini unachanganyikiwa. Tulia kwanza. Shusha pumzi. Kunywa juice,maziwa ,smoothie au maji. Soma hapa chini.

"Huo ambao haujawa polished tsh 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox vidogo vidogo tsh 350,000"

Nakusikiliza. Sasa wapi unapata shida nikusaidie.
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,162
2,000
Sijui kwanini watanzania tunapenda sana ficha hizi bei za bidhaa...imagine amazoni au alibaba wanakwambia ukiipenda hii Tv njoo inbox...ni moja ya tabia za kitapeli..samahan kuchafua wall yako
Yah angewawekea bei hadharani kurahisha mambo..
Mlango kama 400000 au 500000 aseme

Ova
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom