VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Mabingwa mara saba wa vilabu Barani Ulaya,AC Milan jana walipambana kiume ugenini Uswis na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Anderlech. Milan ilihitaji ushindi ili isonge mbele kwa hatua ya mtoano ya 16 bora. Mabao ya Milan yalipachikwa na Stephan El Shaarawy,Alexis Mexes na Pato. Milan inaungana na Malaga kufuzu kwa hatua hiyo kutoka kundi C.
Wapi Gomba? Njoo tufurahie mnazi wangu...
Wapi Gomba? Njoo tufurahie mnazi wangu...