Pape JF-Expert Member Dec 11, 2008 5,488 79 Feb 21, 2010 #1 Mila zingine sio za kuendekezwa!!! Attachments Mila zingine sio za kuendekezwa.zip 1 MB · Views: 72 m241955.jpg 59.4 KB · Views: 1,301 m241957.jpg 56.9 KB · Views: 1,290 m241945.jpg 43.2 KB · Views: 1,062 m241956.jpg 65.1 KB · Views: 1,213 m241958.jpg 67.7 KB · Views: 1,121
Pape JF-Expert Member Dec 11, 2008 5,488 79 Feb 21, 2010 Thread starter #7 Asante PJ, I cannot access Jamii Image Hosting! So sad! I hope Invisible and Maxence will solve the problem soon!
Asante PJ, I cannot access Jamii Image Hosting! So sad! I hope Invisible and Maxence will solve the problem soon!
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,385 Feb 21, 2010 #8 Tatizo liko wapi? kuna fleva zake huwezi jua.
Pape JF-Expert Member Dec 11, 2008 5,488 79 Feb 21, 2010 Thread starter #9 nyani<abiziani> said: Tatizo liko wapi? kuna fleva zake huwezi jua. Click to expand... what if you were you? </abiziani>
nyani<abiziani> said: Tatizo liko wapi? kuna fleva zake huwezi jua. Click to expand... what if you were you? </abiziani>
Injinia JF-Expert Member Feb 26, 2008 849 26 Feb 21, 2010 #11 Thanks PJ, Hizi mutu za wapi? Ni Pokot wa Kenya? Au watu wa Mali? Wanatisha aise, haswa yule wa kwanza aliyetoa vizibo vya mdomo kapitisha mkono. Sasa wakati wa kula inakuwaje?
Thanks PJ, Hizi mutu za wapi? Ni Pokot wa Kenya? Au watu wa Mali? Wanatisha aise, haswa yule wa kwanza aliyetoa vizibo vya mdomo kapitisha mkono. Sasa wakati wa kula inakuwaje?
Tumain JF-Expert Member Jun 28, 2009 3,154 70 Feb 21, 2010 #12 Ujahilia ni utamaduni mbaya sana, duh! ustaarabu utafika lini kwa watu hawa? ya nini kujiumiza?
X-PASTER JF-Expert Member Feb 12, 2007 11,610 1,809 Feb 22, 2010 #13 Sasa hawa watu wakitaka kula au kunywa inakuwaje!
Pape JF-Expert Member Dec 11, 2008 5,488 79 Feb 22, 2010 Thread starter #14 X-PASTER said: Sasa hawa watu wakitaka kula au kunywa inakuwaje! Click to expand... hao nadhani hawaendi uvinza!
X-PASTER said: Sasa hawa watu wakitaka kula au kunywa inakuwaje! Click to expand... hao nadhani hawaendi uvinza!
X-PASTER JF-Expert Member Feb 12, 2007 11,610 1,809 Feb 22, 2010 #15 Pape said: hao nadhani hawaendi uvinza! Click to expand... Una maanisha hata wakiwa na ndugu zao wanaishi uko Uvinza hawawezi kwenda kuwatembelea!?
Pape said: hao nadhani hawaendi uvinza! Click to expand... Una maanisha hata wakiwa na ndugu zao wanaishi uko Uvinza hawawezi kwenda kuwatembelea!?
J josia chaula New Member Jan 3, 2010 2 0 Feb 22, 2010 #16 these r statues how can a lip of real human being stretch to that extent
Waberoya Platinum Member Aug 3, 2008 15,169 10,785 Feb 23, 2010 #17 he, kuna intimate ya mke a mume kweli, I mean denda
kisasangwe JF-Expert Member Feb 16, 2010 292 52 Feb 23, 2010 #18 oh maimai nahisi naona vibaya,eti hao watu au vinyago?hapa tz wanapatikana pande gani? woooiowoiii mi naogopa.
oh maimai nahisi naona vibaya,eti hao watu au vinyago?hapa tz wanapatikana pande gani? woooiowoiii mi naogopa.
Mahai JF-Expert Member Jan 14, 2010 351 38 Feb 23, 2010 #19 Aisee its incredible. Hawa kama sikosei wanatokea Omo River, Ethiopia.
Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,678 4,349 Feb 23, 2010 #20 Mh nadhani Sudan ya kusini hiyo agggggggggggggggggggggggr