Mila Potofu

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,249
1,332
7189896d6dcfb91b4fcc90ee6da6c22d.jpg
 
Eeh ndio inavotakiwa ujue hao huwa wanaongea sana kikao kitakuwa kirefu bila sababu

Ikifika stage ya ndiyo au hapana ndio mna mfungua
 
Eeh ndio inavotakiwa ujue hao huwa wanaongea sana kikao kitakuwa kirefu bila sababu

Ikifika stage ya ndiyo au hapana ndio mna mfungua
Mnapomfungua ktk stage hiyo ya ndio au hapana .... mtakuwa mmemshirikisha kivp?
 
Hii yanikumbusha story ya "Three Suitors One Husband" ... mwandishi Oyono G. Mbia anaandika .... " ... since when do women speak in mvoutessi?

Wa jinsia ya kike wote walizibwa midomo to be able to express their feelings and give their opinions .... lakn Juliette akapangua huo mtazamo
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Women's position in decision making? Roles of women in society? And then women right??
Aaah
Hizo ni theory tuu unazisoma darasani tu ufaulu
Hata USA kwenyewe hawafanyi wanayo yaongea. Wana miaka 200 hawajawahi eka rais mwana mke awa amulie mambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom