Mil. 90 Zinahitajika kuokoa Uhai wa Dr. Ulimboka

JAMANI KWA WALE AMBAO WANAONA TAARIFA HAIJAKAA VIZURI MAELEZO THABITI HAYA HAPA CHINI
TUJITOLEE KUMCHANGIA MATANZANIA MWENZETU COMRADE WETU KAMANDA WETU

Haya ni maelezo ya Dkt. Hobokela Stephen, kaka yake Dkt. Ulimboka Stephen.

Dear all,

Thank you very much for your candid support in this.

I would like to bring to your attention that we had a meeting this afternoon between myself and a team of specialist to discuss modalities of collecting contributions.

In order to efficiently coordinate contributions it was agreed to use m-pesa agent number 31915 belonging to Christine Hobokela and and tigo pesa agent number 05416 belonging to Hedaya Stephen Mwaitenda.

For those who want to send foreign currency (USD) please send to Dr. Hobokela Stephen, Stanbic Bank Tanzania Limited Account number: 024003849360, SWIFT CODE: SBICTZTX

The reason I'm sending this is because I have been asked several times to clarify on this and after consuling with MAT president, he advised me to provide this clarification.

Below are some steps on how to send money to m-pesa and tigo pesa:

M-pesa

1. piga *150# OK
2.Chagua 2, toa pesa.
3.Ingiza namba ya wakala ambayo ni 31915
3.Weka kiasi cha pesa unachotaka kuchangia eg 50000
4.Weka nambari ya siri - namba yako ya siri
5. Bonyeza 1 kuthibitisha muamala

Utapata ujumbe kuwa mefanikiwa kutoa pesa kwa Christin Hobokela

Tigo pesa

1. piga *150*01# OK
2.Chagua 3, kutoa pesa.
3.Ingiza namba ya wakala ambayo ni 05416
3.Weka kiasi cha pesa unachotaka kuchangia eg 50000
4.Weka nambari ya siri - namba yako ya siri
5. Bonyeza 1 kuthibitisha muamala

Utapata ujumbe kuwa umefanikiwa kutoa pesa kwa Hedaya Mwaitenda
----------------
Once again we thank you very much for your support.

Hobokela Stephen

Source: Call for donation/Njia za kuchangia ili kulipia gharama za matibabu ya Dkt. Ulimboka Stephen - wavuti
juu ya hili kwa mliopo nje njia ya western union money transfer kwa ndg jamaa au rafiki naye atazifikisha kwa MAT
 
asakuta same, tuthibitishie kuwa zitafika kunakotakiwa bila mawaa plse.
mungi usiwe na wasiwasi ,huu ndiyo utaratibu rasmi uliotolewa na kamati ya jumuiya ya madaktari baada ya kufanya kikao na familia ya Comrade.
ukitaka ushahidi zaidi ,mpigie simu daktari yeyote unayemfahamu atakudhibitishia hili.
 
Hivi watanzania wameifanya India kuwa ni tenderer wa kuwatibu! Hakuna matibabu sehemu nyingine duniani isipokuwa India tu? Je, ni wakazi wa dunia nzima wanatibiwa India au ni watanzania tu?

Huwa nashindwa kuelewa hawa serikalini wanafikiria kwa kutumia nini hasa. Ni hivi vichwa vya kawaida au vichwa vya chini?
Hivi toka tumepata uhuru ni kiasi gani kimetumika kupeleka wagonjwa India?
Hivi hicho kiasi si kingetosha kuboresha huduma hapa kwa kununulia vifaa tiba na wengi zadi wakapata huduma?
 
Mshafanya ni dili la kupata pesa,eti milioni 90,kwa maana iyo yy ni muhimu sana kuliko awo raia wanaopoteza uhai kila aiku kwa ajili ya yy kuongoza migomo,pumbavu mkubwa,na akipona arudie tena,hili suala mm siafiki ata kodogo watanzania tuache unafiki.
hiki ndicho alichokuwa anakipigania ulimboka.......
THINK;
A country where there is no even a single working CT Scan Machine...Is it true we cannot afford it, and we loose around 6% of Head Injury patients and discharge 99% of the same patients without a proper management.
Relate this with a Tz Minister driving a 280million V8 Prince (Equalling to approx 1 Phillips CT Scan Machines + Transport)

siemens ------------------200000 usd approx
toshiba -------------------180000 usd approx
beckam coulter------------250000 usd approx
sharp------------------------200000 usd approx
ge----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx

The compute tomography machine (CT-Scan Machine costs depending upon the technology systems
 
unawaongelea watanzania gani?
Mbona huku vijijini wamekuwa wakifa kama mchwa kila siku bila huduma?

Serikali ya chama cha majambazi inawachangisha wanavijiji pesa kila mara kila mwaka ili wapelekewe huduma za afya lakini hakuna kitu ,maeneo mengi hata Dispensary hakuna,na pale palipo na jengo linaloitwa hospitali hakuna hata Panadol sasa hospitali ni jego au huduma.

Watu wangu wamewekwa kwenye mapango wala hapana asemae rudisha wewe ni mmoja wao.,
mama kampeni ya nini? sio kila jambo mligeuze kuwa siasa.
 
wewe gamba,
hujalazimishwa kutoa na kwa maoni yangu wewe kama ccm mliohusika na unyama aliofanyiwa ulimboka naomba mkae pembeni, muendelee kutafuta mwingine wa kuua maana huyu imegonga..

Uchunguzi unakuja, hicho kikundi kitajulikana tu.

68 au 90?
 
CHADEMA ikave hizo gharama za matibabu ya kamanda wake, nadhani ruzuku insyopata inatosha

Eenh....unasema?.....inamaana harakati za Ulitomboka ni politica,hivi kwanini tunapenda kuingiza siasa kwenye mambo yasiyohusika na siasa kabisa?
 
Kikwete na wenzake wanacheeeeeeeka
Jopo la Madaktari wanaomtibu Dr. Ulimboka katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili wamesema zinahitajika shilingi Milioni Tisini (Tsh.90,000,000) kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Dr. Ulimboka. Madaktari wanasema Dr. Ulimboka ana matatizo ya Ini na kuwa Matatizo hayo ya Ini hayawezi kutibika katika hospitali yetu ya Muhimbili. Jopo la Madaktari limesema mpaka sasa zimepatikana Tsh. milioni 40 zilizochangwa na Madaktari. Dr. Ulimboka anahitaji kusafirishwa kwenda nchini India ambako anaweza kupatiwa matibabu stahiki.

Nilikuwa napendekeza Chama Cha Madaktari (MAT) au kikundi kingine kuratibu zoezi la kukusanya michango kutoka kwa wananchi wenye nia njema na wanaomtakia kupona Dr. Ulimboka.

Pamoja na mdai Mengine Madaktari wanasema kuwa “Sisi madaktari kwa umoja wetu, tumechoka kushuhudia Watanzania wakipoteza maisha kwa magonjwa tunayoweza kuyatibu, kufanya kazi katika mazingira magumu huku kukiwa hakuna mipango ya kuboresha mazingira ya kazi, kukosekana kwa dawa na vifaa tiba.”
 
Mi nadhani wakati watanzania wanajiandaa kuanza kuchanga, Madaktari waendelee kuwahudumia wagonjwa wanaoweza kutibiwa hapa hapa nchini haitakuwa kitu cha msingi watanzania wakahangaika na mtu mmmoja wakati Mamia ya Wagonjwa wanakufa mahospitalini
Halafu ni kweli Madaktari wanalamika dawa hakuna hospitali au ni pendekezo lao la kulipwa Mshahara wa Milioni 3.5 kwa mwezi, katika hili nawaelaza Madaktari wafanye analysis waje na data kama inawezekana il
Prof analipwa 2.5 ambaye anamfundisha Daktari
Mbunge 2.5..Nakushauri kaombe Salar slip ya Mbunge wako wa Jimbo atakupa

Watanzania imefika mahali tupime Unga na Mchanga Tuache Ushabiki wa Kisiasa kwenye Maisha ya Watanzania

If I'll be required to choose great thinkers from JF,I will choose very few, you, be one of them.
 
Mi nadhani wakati watanzania wanajiandaa kuanza kuchanga, Madaktari waendelee kuwahudumia wagonjwa wanaoweza kutibiwa hapa hapa nchini haitakuwa kitu cha msingi watanzania wakahangaika na mtu mmmoja wakati Mamia ya Wagonjwa wanakufa mahospitalini
Halafu ni kweli Madaktari wanalamika dawa hakuna hospitali au ni pendekezo lao la kulipwa Mshahara wa Milioni 3.5 kwa mwezi, katika hili nawaelaza Madaktari wafanye analysis waje na data kama inawezekana il
Prof analipwa 2.5 ambaye anamfundisha Daktari
Mbunge 2.5..Nakushauri kaombe Salar slip ya Mbunge wako wa Jimbo atakupa

Watanzania imefika mahali tupime Unga na Mchanga Tuache Ushabiki wa Kisiasa kwenye Maisha ya Watanzania
hii yote ni siasa na hapo ndio inabidi kufikiria nani atafaidi zaidi kama huyu Dr. angeuliuwa.
 
MPESA 31915
TIGOPESA 05416
.

Changia DR. ULIMBOKA STEVEN kupitia namba za mawakala hao hapo juu!
 
teh teh kufa kufaana nilijua lazima watu wapige dili.Ndo mtindo wa kutengeneza pesa wa siku hizi.Hata kifo cha kanumba watu wamepiga dili
MAELEKEZO RASMI YA KAMATI KUHUSU UCHANGIAJI WA FEDHA ZA MATIBABU YA DR.STEVEN ULIMBOKA.

Baada ya majadiliano kati ya familia ya Steven Ulimboka,kamati ya jumuiya ya madaktari na MAT.Zifuatazo ni namba za mawakala zitakazotumika kuchangia.
MPESA 31915
TIGOPESA 05416.
CHITAGE.
 
Jopo la Madaktari wanaomtibu Dr. Ulimboka katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili wamesema zinahitajika shilingi Milioni Tisini (Tsh.90,000,000) kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Dr. Ulimboka. Madaktari wanasema Dr. Ulimboka ana matatizo ya Ini na kuwa Matatizo hayo ya Ini hayawezi kutibika katika hospitali yetu ya Muhimbili. Jopo la Madaktari limesema mpaka sasa zimepatikana Tsh. milioni 40 zilizochangwa na Madaktari. Dr. Ulimboka anahitaji kusafirishwa kwenda nchini India ambako anaweza kupatiwa matibabu stahiki.

Nilikuwa napendekeza Chama Cha Madaktari (MAT) au kikundi kingine kuratibu zoezi la kukusanya michango kutoka kwa wananchi wenye nia njema na wanaomtakia kupona Dr. Ulimboka.

Pamoja na mdai Mengine Madaktari wanasema kuwa "Sisi madaktari kwa umoja wetu, tumechoka kushuhudia Watanzania wakipoteza maisha kwa magonjwa tunayoweza kuyatibu, kufanya kazi katika mazingira magumu huku kukiwa hakuna mipango ya kuboresha mazingira ya kazi, kukosekana kwa dawa na vifaa tiba."

Mkuu ni kusahihishe kidogo Dr. Ulimboka angundulika na tatizo la FIGO sio INI kama ulivyotuhabarisha. FIGO zake zimefeli ndio maana wanataka kumpeleka INDIA kwa matibabu zaidi.
 
teh teh kufa kufaana nilijua lazima watu wapige dili.Ndo mtindo wa kutengeneza pesa wa siku hizi.Hata kifo cha kanumba watu wamepiga dili
hujalazimishwa kuchangia mkuu ,,,,km una mkono wa birika sepa ,we can handle this on our own no matter what......hii ilikuwa ni kwa wale wenye moyo safi ili tumshinde shetani na wakala zake na siyo kwa watu km wewe na mashetani wenzako.
 
Back
Top Bottom