Mil. 90 Zinahitajika kuokoa Uhai wa Dr. Ulimboka

vita ni vita mura! hivi ni nani ataumwa Tanzania hii tuache kuchangia? ee mungu tunusuru waja wako! ee mungu mnusuru kiumbe wako ulimboka!
 
Tupeane namba za akaunti...tujipime mpaka tutakapoweza. But he needs our support like any other Tanzanian
 
CHADEMA ikave hizo gharama za matibabu ya kamanda wake, nadhani ruzuku insyopata inatosha
 
Serikali si ilisema ita gharamia matibabu yake? Au wame badilisha mawazo?

Binafsi ningetaka kuona serikali kando kwenye hili swala.

Mleta mada unaweza kuweka hii habari kwenye blogs tofauti maana sio kila mtu anasoma JF.
 
nadhani hata watz sasa watailaumu serkali kwa kukosekana vifaa kwenye hospital kubwa kitu kinachosababisha hela nyingi kutumika kupeleka wagonjwa India

Hata mi nilikua nafikiria hilo, serikali ingekua makini kuna magonjwa mengi ambayo yangeweza kutibiwa hapa tz kuliko kuingia gharama ya kwenda india.
 
dr.ulimboka itakua kachomwa sindano ya sumu.uwt ndiyo kazi wanayoijua pekee
 
Things are abit confusing...hatujui which is which

Tatizo serikali yetu saa nyingine ina panic na kutamka vitu bila kufirikia.

Binafsi ningetaka kuona serikali kando kwenye hili swala.

Mleta mada unaweza kuweka hii habari kwenye blogs tofauti maana sio kila mtu anasoma JF.

Nakubaliana na wewe mkuu. Nilikua tu najiuliza mpaka sasa serikali ishatoa pesa walau wenyewe wakaikataa? Au walisema tu wata gharamia kisha wakakaa kimya.
 
nadhani hata watz sasa watailaumu serkali kwa kukosekana vifaa kwenye hospital kubwa kitu kinachosababisha hela nyingi kutumika kupeleka wagonjwa India

Hivi watanzania wameifanya India kuwa ni tenderer wa kuwatibu! Hakuna matibabu sehemu nyingine duniani isipokuwa India tu? Je, ni wakazi wa dunia nzima wanatibiwa India au ni watanzania tu?
 
NDIO mkuu. Inaonekana majeruhi yake ya ndani ni makubwa sana, LABDA itahitajika kubadirisha Ini kabisa?? LAKINI kwa Dr. Ulimboka ni muhimu aokolewe kwa gharama yoyote ile, kwani ataweza kusaidia kuleta ukweli wa mambo. Pia hii itakuwa ndio mwanzo wa kukuzwa Demkrasia ya kuheshimiana mawazo. La Sivyo wakishajua hii njia inasaidia watu wengi watanyamazishwa.

hastahili kujibiwa huyu uliyemjibu
 
Mi nadhani wakati watanzania wanajiandaa kuanza kuchanga, Madaktari waendelee kuwahudumia wagonjwa wanaoweza kutibiwa hapa hapa nchini haitakuwa kitu cha msingi watanzania wakahangaika na mtu mmmoja wakati Mamia ya Wagonjwa wanakufa mahospitalini
Halafu ni kweli Madaktari wanalamika dawa hakuna hospitali au ni pendekezo lao la kulipwa Mshahara wa Milioni 3.5 kwa mwezi, katika hili nawaelaza Madaktari wafanye analysis waje na data kama inawezekana il
Prof analipwa 2.5 ambaye anamfundisha Daktari
Mbunge 2.5..Nakushauri kaombe Salar slip ya Mbunge wako wa Jimbo atakupa

Watanzania imefika mahali tupime Unga na Mchanga Tuache Ushabiki wa Kisiasa kwenye Maisha ya Watanzania
 
Infact Dr Ulimboka anaweza kuwa kapata matatizo makubwa kuliko watu tunavyofikiri kwa kazi majoa wapo ya usalama wa Taifa ni kuua, wananweza wakawa wamempoisson ili afe taratibu. eeh mungu msaidie huyu mpiganaji
 
Ee Mungu tunakuomba umsadie Dr.Ulimboka apone...mbunge akiumwa serikal inampeleka india lakini dk. anaumwa madaktari wenzake ndo wanachanga pesa kumsafirisha tunaelekea wapi ndugu muda umefika tubadilike!
 
Mi nadhani wakati watanzania wanajiandaa kuanza kuchanga, Madaktari waendelee kuwahudumia wagonjwa wanaoweza kutibiwa hapa hapa nchini haitakuwa kitu cha msingi watanzania wakahangaika na mtu mmmoja wakati Mamia ya Wagonjwa wanakufa mahospitalini
Halafu ni kweli Madaktari wanalamika dawa hakuna hospitali au ni pendekezo lao la kulipwa Mshahara wa Milioni 3.5 kwa mwezi, katika hili nawaelaza Madaktari wafanye analysis waje na data kama inawezekana il
Prof analipwa 2.5 ambaye anamfundisha Daktari
Mbunge 2.5..Nakushauri kaombe Salar slip ya Mbunge wako wa Jimbo atakupa

Watanzania imefika mahali tupime Unga na Mchanga Tuache Ushabiki wa Kisiasa kwenye Maisha ya Watanzania

Upo sahihi kabisa, wagonjwa wote wahudumiwe. Iwe ni doctor, mkulima, mhasibu, mwalimu, nk, kusiwe na ubaguzi na upendeleo wa waziwazi kama inavyoonesha.
 
Jopo la Madaktari wanaomtibu Dr. Ulimboka katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili wamesema zinahitajika shilingi Milioni Tisini (Tsh.90,000,000) kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Dr. Ulimboka. Madaktari wanasema Dr. Ulimboka ana matatizo ya Ini na kuwa Matatizo hayo ya Ini hayawezi kutibika katika hospitali yetu ya Muhimbili. Jopo la Madaktari limesema mpaka sasa zimepatikana Tsh. milioni 40 zilizochangwa na Madaktari. Dr. Ulimboka anahitaji kusafirishwa kwenda nchini India ambako anaweza kupatiwa matibabu stahiki.

Nilikuwa napendekeza Chama Cha Madaktari (MAT) au kikundi kingine kuratibu zoezi la kukusanya michango kutoka kwa wananchi wenye nia njema na wanaomtakia kupona Dr. Ulimboka.

Pamoja na mdai Mengine Madaktari wanasema kuwa “Sisi madaktari kwa umoja wetu, tumechoka kushuhudia Watanzania wakipoteza maisha kwa magonjwa tunayoweza kuyatibu, kufanya kazi katika mazingira magumu huku kukiwa hakuna mipango ya kuboresha mazingira ya kazi, kukosekana kwa dawa na vifaa tiba.”

Unaweza kutuma kwenye namba hii. 0713691949 Dr B. Kamala
 
Back
Top Bottom