Ooops kwa hiyo ikiwa nyumba moja kubwa ambayo itakuwa na labda nyumba ndogo ndani zinazojitegemea, zikawa (hizo ndogo) zinapangishwa hazistahili kuitwa Apartments?
Usinicheke lakini Watu8
Haki ya nani, ndiyo nimejua leo 🤣 🤣 🙌Yaani mkuu ukishataja tu apartment, tayari umeshamaanisha nyumba iliyopo ndani ya jengo lenye vinasaba vya kikwangua anga "ghorofa"
Apartment buildings are multi-story buildings where three or more residences are contained within one structure. Such a building may be called an apartment building, apartment complex, flat complex, block of flats, tower block, high-rise
Apartments ni nyumba ya kujitegemea au haujaona neno ' apart' hapo?!Hivi kwa nini wabongo huwa tunaita nyumba za chini apartments?
Apartments ni nyumba ya kujitegemea au haujaona neno ' apart' hapo?!
So iwe ghorofani au chini, ikiwa ni vinyumba vinajitegemea maji,jiko,space,choo, katika same compound inaitwa apartment.
Labda kama ni hizi mnaita za uwani,self moja,sebule,chumba na jiko ..vijumba 2 unaweza jikongoja kidogoWandugu,
Nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? wataalamu naomba mchanganuo tafadhali.
Asante.
Soko ndio linapanga bei sio serikali,hamia nchi ambayo serikali inapunguza bei.Cjapata kuona serikali la kipumbafu hili. Simenti inatengenezwa hapa, nondo hapa, bati hapa, misumali hapa, mbao hapa, masquare pipe n.k hapa, wanashindwa nn kupunguza!!!!!!!
Soko ndio linapanga bei sio serikali,hamia nchi ambayo serikali inapunguza bei.
Wakulima saizi wanalia mbolea imefika laki hapo shida sio serikali bali demand vs production ,Ili serikali iwasaidie ifute kodi zote na iweke ruzuku sasa pesa za kufanya hivi zinatoka wapi?
Hakuna anaepandisha bei bali soko,wakiwa wachache sokoni wanaweza ila wakiwa wengi hawaweziSasa mkuu, bila kukemewa na serikali nani wa kuwakemea hawa wafanyabiashara!!! Wanapandisha bei serikali iko kimya, inakula kodi zao huku wananchi tunaumia.
Itachelewa kushuka au kupanda?,embu iweke vizur hapa sababu Dom naona sio bei ghaliJenga tu kama umeamua, lakini kwa sasa dodoma nyumba ni nyingi sana, hivyo ili ipate mteja kirahisi ni lazima kiwanja chako kiwe location fulani fulani.
NB: Watumishi wa level fulani fulani waliohamia Dodoma 2019-2020 wameshajenga na kuhamia kwenye nyumba zao hivyo wameziachia nyumba walizozipanga.
Kitu cha kufurahisha ni kwamba bei ya nyumba itachelewa sana kushuka Dodoma.
Siwezi kulisemea kwanini RR lakini ni kama ziko overpriced na wenye nyumba hawana mpango wa kuzishusha hata kwa sasa ambapo Mama haji Dodoma kivilee.Kwanini?
Sio bei ghali ukifananisha na wapi? Isijekuwa unafananisha na Mbezi/mbweni etc. Ili tupate cha kujadili inatakiwa tufahamu bei za nyumba dodoma kabla ya serikali kuhamia na sasa. Zamani bei zilikuwa sawa na bure. kwa kifupi tu zamani nyumba zilikuwa empty nyingi hata wa kukaa walikuwa hamna.Itachelewa kushuka au kupanda?,embu iweke vizur hapa sababu Dom naona sio bei ghali
Apartments ni nyumba ya kujitegemea au haujaona neno ' apart' hapo?!
So iwe ghorofani au chini, ikiwa ni vinyumba vinajitegemea maji,jiko,space,choo, katika same compound inaitwa apartment.
Wandugu,
Nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? wataalamu naomba mchanganuo tafadhali.
Asante.
InakamilikaWandugu,

mbona kuna kipindi fulani miaka kama 6 nyuma,cement kutokea Pakistan ilikuwa bei chini na bora kuriko ya hapakwetu,ama ili nalo umesahauTembea nchi zingine ulizia simenti, nondo, bati n.k kama zitawiana na hapa kwe2.
mbona kuna kipindi fulani miaka kama 6 nyuma,cement kutokea Pakistan ilikuwa bei chini na bora kuriko ya hapakwetu,ama ili nalo umesahau