Mikwara ya Baba Mkwe

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,273
17,096
Binamu yangu kaowa majuzi tu...shida ni kuwa baba mkwe kutwa simu haziishi kwa mwananwe kujuwa nini kinaendelea...binamu alipofuatilia kulikoni mkewe kamwambia Baba yake anamhimiza asirukwe ukuta na mumewe...sasa jamaa kachanganyikiwa na mikwara ya mkwewe kwa kuwa alimfuta kumuuliza naye akamjibu ni kweli na kidhubutu kufanyia hivyo huyo mwanawe basi atamnyoosha kimjini..ndoa iko kapuni kwa muda...naomba tuungane kujadili hili :angry:
 
mnh yaani kutishiwa hivyo tu na baba mkwe ndio ndoa iko kapuni???
mie ningempiga biti baba mkwe kama anataka mwanae aendelee kuwa ndoani then apunguze kupiga simu..
 
Yeye ana shida gani kwani??? na atajuaje kama hampa hiyo kitu ya mtandao wa bei rahisi kuliko yote TZ???
 
mnh yaani kutishiwa hivyo tu na baba mkwe ndio ndoa iko kapuni???
mie ningempiga biti baba mkwe kama anataka mwanae aendelee kuwa ndoani then apunguze kupiga simu..

Binamu siyo wa mjini sana kwa hiyo kaingiwa woga
 
Sasa ana wasiwasi gani kama hana mpango wa kumharibu mtoto wa watu?Unless ana mpango huo...in which case ameshapewa tahadhari!
 
kwa nini ndoa iwe kapuni?,......ni kweli jamaa alikuwa anaruka fensi?............

halafu baba mkwe nae ana tabia mbaya...........
 
Hapo jamaa alitakiwa amtaiti baba mkwe kujua kulikoni aje na maneno kama hayo,je anajuaje kama mwanawe ni mtoa tigo, au ameshakula tigo ya mwanaye kwa hiyo anamjua na ndio maana hataki mkwe naye amfaidi hiyo tigo?I m sorry for this comment.
 
u are right, iweje aanze na masharti ya hivyo.
 
Hapo jamaa alitakiwa amtaiti baba mkwe kujua kulikoni aje na maneno kama hayo,je anajuaje kama mwanawe ni mtoa tigo, au ameshakula tigo ya mwanaye kwa hiyo anamjua na ndio maana hataki mkwe naye amfaidi hiyo tigo?I m sorry for this comment.

mkwe ana wivu kwa mwanae
nakuunga mkono
dizain baba mtu alikuiwa anatokla na mtoto wake ndomana ana wivu sana
mkwe hana maadili hata kdg
huwez ulizia mambo km hayo ya aibu kwa mtoto wako
uyo mkwe ndo michezo yake iyo.....huwezi sema kitu ambacho akipo kichwani....mtu unena lililo moyon...
uyo bnam kuweka ndoa reahan kwa sababu fup km i pia atakuwa mjinga.....aachane na mkwe na akae na mkewe amweleze kwa kirefu mahusiano husika na mipaka iliyopo kat yake na baba yake...ajaribu kuongea na watu wanaojua history ya familia iyo....NIAN WASI WASI NA UTIMAMAU NA MAAADILI YALIYOPO KAT YA MTOTO BABAMTU.
AWE NA AMAN NA AIPALILIE NDOA YAKE
 
Mh huyo baba Mkwe ana WALAKINI, inaelekea yeye ana RUKA sana ukuta so anaogopa mwananwe asifanyiwe hicho kitendo, AU alitest nini kwa MWANAYE maana dunia ishajiishia zamani sna hii why so concerned
 
Hapo jamaa alitakiwa amtaiti baba mkwe kujua kulikoni aje na maneno kama hayo,je anajuaje kama mwanawe ni mtoa tigo, au ameshakula tigo ya mwanaye kwa hiyo anamjua na ndio maana hataki mkwe naye amfaidi hiyo tigo?I m sorry for this comment.

hata mimi nilikua nawaza hivyo hivyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom