Mikutano ya siasa ikiruhusiwa Chadema mtawahutubia nani na wafuasi wenu wamewakimbia?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Baada ya kupata pilau ya uhakika kwa jirani yangu ambaye ni mfuasi wa ACT wazalendo na kuzungumza mawili matatu nimejiridhisha siasa siyo Uadui.

Ila bado najiuliza kama mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa watani zangu wa Ufipa watapata wafuasi kweli?

Kwanza hao watu wataenda kumsikiliza nani ilhali viongozi wanenaji ndio hao wamekimbilia CCM!

Maendeleo hayana vyama.
 
Sio wote wanaoudhuruia vikao ni wanachama chama husika wengine wafwatiliaji tu wa siasa lakini hawana chama kwaiyo watu wanapatika tu.
 
Baada ya kupata pilau ya uhakika kwa jirani yangu ambaye ni mfuasi wa ACT wazalendo na kuzungumza mawili matatu nimejiridhisha siasa siyo Uadui.

Ila bado najiuliza kama mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa watani zangu wa Ufipa watapata wafuasi kweli?

Kwanza hao watu wataenda kumsikiliza nani ilhali viongozi wanenaji ndio hao wamekimbilia CCM!

Maendeleo hayana vyama.
Ni ajabu kubwa kwamba licha ya CHADEMA kuonekana imebaki MIFUPA TUPU lakini bado inaendelea kuwa tishio kwa watawala. Ni kama kwamba baada ya CHADEMA "KUFA" sasa watawala wamejikuta wakipambana na mzimu wake (ghost) ambao ni hatari zaidi kwani ingawa hauonekani lakini madhara yake ni dhahiri.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Kazi kudoea tu pilau kwa jilani

Baada ya kula pilau ya kudoea mkaanza kujazana uongo

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ni ajabu kubwa kwamba licha ya CHADEMA kuonekana imebaki MIFUPA TUPU lakini bado inaendelea kuwa tishio kwa watawala. Ni kama kwamba baada ya CHADEMA "KUFA" sasa watawala wamejikuta wakipambana na mzimu wake (ghost) ambao ni hatari zaidi kwani ingawa hauonekani lakini madhara yake ni dhahiri.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Pale marehemu anapokua bado ni tishio ajabu kweli kweli
 
Wewe ulikuwa umeenda kuvizia ubwabwa na pilau tu, sasa wakati wa kusubili subili ukajikuta unaanzisha uongo ili jirani kuvumilie
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wait and see mkuuu,wananchi si mali ya CCM na hakuna cha maana mlichofanya mpaka useme hivyo
 
Baada ya kupata pilau ya uhakika kwa jirani yangu ambaye ni mfuasi wa ACT wazalendo na kuzungumza mawili matatu nimejiridhisha siasa siyo Uadui.

Ila bado najiuliza kama mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa watani zangu wa Ufipa watapata wafuasi kweli?

Kwanza hao watu wataenda kumsikiliza nani ilhali viongozi wanenaji ndio hao wamekimbilia CCM!

Maendeleo hayana vyama.
Fungueni muone....acheni huru kabisa msiwatishe na polisi uone nyomi lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom