johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,819
- 141,727
Baada ya kupata pilau ya uhakika kwa jirani yangu ambaye ni mfuasi wa ACT wazalendo na kuzungumza mawili matatu nimejiridhisha siasa siyo Uadui.
Ila bado najiuliza kama mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa watani zangu wa Ufipa watapata wafuasi kweli?
Kwanza hao watu wataenda kumsikiliza nani ilhali viongozi wanenaji ndio hao wamekimbilia CCM!
Maendeleo hayana vyama.