Mikutano ya siasa ikiruhusiwa Chadema mtawahutubia nani na wafuasi wenu wamewakimbia?

Katika vitu ambacho watu wamekosa ni mikutano. Kwa TAARIFA tu CCM Chama chetu bila ya kutumia fuso huwa tunapata SHIDA sana ya kupata wasikilizaji. Na kwa kuwa muda mwingi tumetawala na kutenda mengi wananchi hupenda kusikia mapungufu na madobgo na Si kusikikiza fact. So kama ni nyomi Chadema watatisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume ni yenu kwa 100% lkn bado tu hamjiamini mnatumia hela nyingi za walipa kodi maskini kuwanunua watu wachache ambao kuondoka kwao hakuwezi kuwa na effect yoyote.

Kinachoweza kuwasadia sio hii nunua nunua ila labda wizi wa kura.
 
Baada ya kupata pilau ya uhakika kwa jirani yangu ambaye ni mfuasi wa ACT wazalendo na kuzungumza mawili matatu nimejiridhisha siasa siyo Uadui.

Ila bado najiuliza kama mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa watani zangu wa Ufipa watapata wafuasi kweli?

Kwanza hao watu wataenda kumsikiliza nani ilhali viongozi wanenaji ndio hao wamekimbilia CCM!

Maendeleo hayana vyama.
comrade usihadaiwe na porojo za kina zero brain (Bashite & co). Chadema waliokimbia ni wabunge na madiwani wao tuliowanunua kuja CCM na wafuasi ambao hawazidi hata laki 1 unusu.

CCM tunaojitambua tumefanya intelijensia na tumegundua kuwa Chadema ina wafuasi wasiopungua 13M pamoja na figisu zote tunazowafanyia. huku CCM pia tupo sympathizers wa Chadema kwa mamilioni.

bila kusahau kuna wale wananchi chama-less ambao watai support Chadema kwa kuionea huruma kutokana na uonevu wa wazi wanaofanyiwa na dola.

hivi zile 350M unadhani ni nani aliwachangia vile?

ndiyo maana unaona sasa Ndugai ka panick, mwenyekiti wa chama chetu ka panick, RCs, DCs na mapolisi wote wame panick mno sasa hivi maana nguvu ya Chadema wanaijua!
 
Mikutano ya siasa ikiruhusiwa Chadema mtawahutubia nani na wafuasi wenu wamewakimbia?
Mimi si Chadema lakini wote tumeshuhudia jinsi serikali ya Magufuli (na vyombo vyake vyote vya dola) inavyokuwa kwenye hekaheka ikitokea Chadema wakatishia tu kufanya mkutano hata ukiwa wa ndani tu. Siku hiyo shughuli zote za serikali husimama.

Jeshi la Polisi, Usalama wa taifa, wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Msajili wa vyama, Tume ya Uchaguzi, Bunge na Mahakama...wote wanakuwa kwenye hali ya tahadhari. Huko kwenye serikali Kuu ndio usiseme, simu zinapigwa utadhani nchi imo kwenye hali ya hatari.

Basi hapo subiri matamko, moja baada ya lingine na sababu zitatolewa moja baada ya nyingine. Mkuu wa Polisi atasema yake, Mkuu wa Mkoa atasema yake, Msajili wa vyama atasema yake, usalama wa taifa itakuwa ni patashika, mama yangu Chadema hawa vipi?

Chadema wanataka kufanya mkutano duh! Ikulu hakukaliki, Wizara ya Mambo ya Ndani hakulaliki, viongozi wa serikali wanapigana vikumbo nani afoke, nani akorome, nani atishie...yaani nchi inakuwa kwenye lockdown heri hata ya corona, ah, corona si mafua tu!

Chadema wametishia kufanya mkutano! Lahaula! Basi msemaji wa Ikulu atahangaika, mkuu wa Usalama wa taifa atahangaika...sheria zitapitiwa, kanuni zitaangaliwa, dondoo zitatafutwa, yaani kuamkia siku hiyo usiku kucha watu hawalali...huu mkutano hapana!

Halafu anakuja mjinga moja anaanzisha mada ya kijinga kama kawaida yake akidai mikutano ya Chadema ikiruhusiwa itakosa watu. Ebo, hata ujinga una kikomo. Hata hivyo ujinga huu una lengo na yawezekana kabisa hilo lengo likatimia, kuilinganisha Chadema na vitu vya kijinga.

Kama corona tu, mafua ya kawaida tu, imeweza kukimbiza watu mjini na kuishia kujifukiza rizavuni, je itakuwaje Chadema, tishio la taifa, litakapojitokeza hadharani katika umbo lake halisi na makamanda wake kuanza kuwadondosha makada bila huruma?
 
Kwani waliokimbia na CDM kipi kilianza ukipata jibu utapata jibu
Baada ya kupata pilau ya uhakika kwa jirani yangu ambaye ni mfuasi wa ACT wazalendo na kuzungumza mawili matatu nimejiridhisha siasa siyo Uadui.

Ila bado najiuliza kama mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa watani zangu wa Ufipa watapata wafuasi kweli?

Kwanza hao watu wataenda kumsikiliza nani ilhali viongozi wanenaji ndio hao wamekimbilia CCM!

Maendeleo hayana vyama.
 
Mimi si Chadema lakini wote tumeshuhudia jinsi serikali ya Magufuli (na vyombo vyake vyote vya dola) inavyokuwa kwenye hekaheka ikitokea Chadema wakatishia tu kufanya mkutano hata ukiwa wa ndani tu. Siku hiyo shughuli zote za serikali husimama.

Jeshi la Polisi, Usalama wa taifa, wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Msajili wa vyama, Tume ya Uchaguzi, Bunge na Mahakama...wote wanakuwa kwenye hali ya tahadhari. Huko kwenye serikali Kuu ndio usiseme, simu zinapigwa utadhani nchi imo kwenye hali ya hatari.

Basi hapo subiri matamko, moja baada ya lingine na sababu zitatolewa moja baada ya nyingine. Mkuu wa Polisi atasema yake, Mkuu wa Mkoa atasema yake, Msajili wa vyama atasema yake, usalama wa taifa itakuwa ni patashika, mama yangu Chadema hawa vipi?

Chadema wanataka kufanya mkutano duh! Ikulu hakukaliki, Wizara ya Mambo ya Ndani hakulaliki, viongozi wa serikali wanapigana vikumbo nani afoke, nani akorome, nani atishie...yaani nchi inakuwa kwenye lockdown heri hata ya corona, ah, corona si mafua tu!

Chadema wametishia kufanya mkutano! Lahaula! Basi msemaji wa Ikulu atahangaika, mkuu wa Usalama wa taifa atahangaika...sheria zitapitiwa, kanuni zitaangaliwa, dondoo zitatafutwa, yaani kuamkia siku hiyo usiku kucha watu hawalali...huu mkutano hapana!

Halafu anakuja mjinga moja anaanzisha mada ya kijinga kama kawaida yake akidai mikutano ya Chadema ikiruhusiwa itakosa watu. Ebo, hata ujinga una kikomo. Hata hivyo ujinga huu una lengo na yawezekana kabisa hilo lengo likatimia, kuilinganisha Chadema na vitu vya kijinga.

Kama corona tu, mafua ya kawaida tu, imeweza kukimbiza watu mjini na kuishia kujifukiza rizavuni, je itakuwaje Chadema, tishio la taifa, litakapojitokeza hadharani katika umbo lake halisi na makamanda wake kuanza kuwadondosha makada bila huruma?
Wengine wanakwambia walikuwa wanavulishwa nguo,Mara zimeliwa.Hivi inavyomulikwa ili ifutwe tuhuma zingekuwa kweli si intelligence inayoona viashiria vya hata vikao vya ndani ishindwe kuona kweli
 
Baada ya kupata pilau ya uhakika kwa jirani yangu ambaye ni mfuasi wa ACT wazalendo na kuzungumza mawili matatu nimejiridhisha siasa siyo Uadui.

Ila bado najiuliza kama mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa watani zangu wa Ufipa watapata wafuasi kweli?

Kwanza hao watu wataenda kumsikiliza nani ilhali viongozi wanenaji ndio hao wamekimbilia CCM!

Maendeleo hayana vyama.
Wamekimbia viongozi sio wafuasi

ngosha mbona mikutano hairuhusiwi wanogopa nn kama cha chenyewe kimekufa ujuwe maboss wako wanajuwa nguvu ya cdm
 
Back
Top Bottom