Mara kwa mara Mhe rais anapofanya ziara, mkutano ya hadhara au jambo lolote lile tumekuwa tukiona mikutano yake ikiwa live yaani mubashara, tunatambua kwamba vyombo vya habari kurusha mikutano live ni gharama kubwa, ni nani analipia gharama za mikutano hii ya rais kwenda live, ikitegemea kwamba bunge lilizuiwa kurushwa live kwa sababu ya kubana matumizi.
Ni kwanini mikutano hii inarushwa live kipindi cha kazi ambacho wengi wanakuwa makazini, Mhe rais haoni kuwa kwa kufanya hivyo watu wataacha kufanya kazi na kutaka kumsikiliza yeye?
Ni kwanini mikutano hii inarushwa live kipindi cha kazi ambacho wengi wanakuwa makazini, Mhe rais haoni kuwa kwa kufanya hivyo watu wataacha kufanya kazi na kutaka kumsikiliza yeye?