Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,434
- 1,985
Nyerere aliua na kuizika TanganyikaZanzibar safari hii itaimeza Tanganyika. Dalili zote ziko wazi.
Hivi Tanganyika ilishawasilisha kero ngapi za Muungano na ngapi zimepatiwa ufumbuzi, kuna anayejua hili kwa usahihi?
Kama bado Tanganyika haijawahi peleka kero zake za Muungano, ni wakati mwafaka ziwasilishwe ili zipate ufumbuzi.
Mojawapo ya kero hizo itakuwa ni Tanganyika kuongozwa na mtu toka nchi nyingine ambaye si raia wake.
Haya mambo tunaweza kuyachukulia mzaha mzaha, lakini ndiyo hivyo tena, sioni Muungano ukiimarika.
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app