Mikutano ya hadhara ya kisiasa haitaepukika itakapopatikana safu mpya CCM

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Nimeshawahi kusema humu kuwa siasa haipigwi marufuku kwakuwa marufuku nayo ni siasa. Kuanzia tarehe 23 mwezi huu,CCM tutapata safu mpya ya uongozi. Kuanzia Kamati Kuu hadi Halmashauri Kuu,sura mpya zitachomoza.

Viongozi hao wapya,hasa wa NEC,watapaswa kujitangaza na kukitangaza chama. Watapaswa kuzunguka nchi kuhutubu bila kutubu kwa tabu na kujionea utekelezwaji wa Ilani ya CCM. Watafanya kama alivyofanya Komredi Kinana na Nape.

Viongozi wapya hawataweza kufanyia kazi ndani ya ofisi zao tu. Hawataweza kutofanya siasa. Watapaswa kuzunguka bila mizuka na kuwaambia watanzania yao nia.

Hadi hapo,mikutano ya kisiasa ya hadhara haitakwepeka wala pembeni kuwekeka. Itafanyika. Kikatiba na kisheria. Wote wanaoipinga mikutano hiyo sasa,wataiunga mkono na kuisifu! Siasa ni kigeugeu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
Tupatupa katika ubora wako. ANGALIA USIJE KUTUMBULIWA NA KUNG'OLEWA KUCHA NA WAZEE WA MIWANI NYEUSI
 
CCM katika ubora wake,kama CHAMADOLA nani wakuwazuia-wakitaka inakuwa na polisi ni "yao" hata wakisemaje.
 
Kuzuia mikutano ya kisiasa ni suala ngumu kimantiki na kimtazamo. Ni sawa na mtu Kukataa kula "vibudu" huku akikataa "kuchinja".

Yataka moyo.
 
Mzee Tupatupa mm uwandishi wako tuu sinaga cha kuongeza, nchi hii chama ni kimoja tuu CCM wengine wanasindikiza tuu, wee mfumo gani huu chama kimoja kinapangia vingine jinsi ya kufanya siasa??
 
Nimeshawahi kusema humu kuwa siasa haipigwi marufuku kwakuwa marufuku nayo ni siasa. Kuanzia tarehe 23 mwezi huu,CCM tutapata safu mpya ya uongozi. Kuanzia Kamati Kuu hadi Halmashauri Kuu,sura mpya zitachomoza.

Viongozi hao wapya,hasa wa NEC,watapaswa kujitangaza na kukitangaza chama. Watapaswa kuzunguka nchi kuhutubu bila kutubu kwa tabu na kujionea utekelezwaji wa Ilani ya CCM. Watafanya kama alivyofanya Komredi Kinana na Nape.

Viongozi wapya hawataweza kufanyia kazi ndani ya ofisi zao tu. Hawataweza kutofanya siasa. Watapaswa kuzunguka bila mizuka na kuwaambia watanzania yao nia.

Hadi hapo,mikutano ya kisiasa ya hadhara haitakwepeka wala pembeni kuwekeka. Itafanyika. Kikatiba na kisheria. Wote wanaoipinga mikutano hiyo sasa,wataiunga mkono na kuisifu! Siasa ni kigeugeu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

Mzee wangu MARUFUKU iko kwa ajili ya wapinzani tu,CCM mbona siasa na mikutano yake inaendelea.Angalia wabunge wa CCM wako busy na mikutano yao.Kwa hiyo MARUFUKU itaendelea maana hiyo ni kwa ajili ya wapinzani wetu tu.
 
Back
Top Bottom