mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Katika mapitio ya magazeti asubuhi, kupitia kipindi cha joto la asubuhi (kunyambua na kunyumbulisha) cha E FM, PJ amenukuu moja ya magazeti kuwa vikao vya BLW vinavyoanza leo vitakuwa live bila chenga kupitia ZBC
Hakuna sababu ndogo ndogo kama gharama au wafanyakazi kutokuwajibika kazini.
Nadhani ile kiu yetu ya kuona bunge live sasa itakwisha kupitia upande wa pili wa muungano japo wapo peke yao barazani (CCM)