Mikutano mingi ya kampeni za ccm idadi kubwa ya washiriki ni watoto na wanafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikutano mingi ya kampeni za ccm idadi kubwa ya washiriki ni watoto na wanafu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Japhari Shabani (RIP), Sep 27, 2010.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimekua nikifuatilia picha na video za kampaini za CCM, kitu ambacho kimenishangaza ni idadi kubwa ya watoto na wanafunzi.Cha kusikitisha ni kwamba wanafunzi wengi wanalazimika kukatisha masomo na kwenda kwenye mikutano yao si kwa kupenda bali kulazimishwa.Sasa najiuliza iweje CCM inanadi sera zake kwa watoto na wanafunzi ambao umri wao wa kupiga kura bado?Nimegudua yafuatayo 1.Kuwakusanya hawa watoto na wanafunzi na kujenga taswira ya umati mkubwa wa watu ni rahisi na gharama zake ni ndogo.Watoto pipi na muziki wa kizazi kipya,wanafunzi amri kutoka kwa mwalimu mkuu na mvuto wa muziki wa kizazi kipya hapa bila ya gharama yoyote.2.Katika umati huu wa watoto wadogo na wanafunzi ni rahisi kutoa ahadi za kisanii kwani wengi wao hawafahamu kinachoendelea.Wamekuja kumuona Rais JK,kusikiliza muziki na kuwaona wasanii bure,kuangalia Helkopta n.k.Hawa hata rais atoe ahadi ya kua baada ya kuchaguliwa atawapeleka mwezini watakaa kimya kwani wao hapo wameenda kwa shughuli nilizozitaja hapo juu.Kitu ambacho kuwakusanya watu wazima gharama yake ni kubwa na wengi ni vigumu kuwadanganya pia kuhepuka kuzomewa pale watakapokua wakitoa ahadi zisizotekelezeka na ambazo hazikutekelezwa. Hii ndio siri kuu kwa idadi kubwa ya watoto wadogo na wanafinzi katika kampaini za CCM MUNGU IBARIKI TANZANIA.
  ushahidi.TAZAMA LINK HIYO KATIKA SEHEMU YA MWISHO KAMPENI ZA UBUNGE GOGOLAMBOTO JERRY SILAA

  http://www.youtube.com/watch?v=hqqjhatAUFg&feature=player_embedded
   
 2. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #2

 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  duu, watoto wanapenda sana bongo fleva pamoja na ule mchezo wa kujiangusha anaoufanyaga JK
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Kutia upumbavu na kutu vichwani mwa watoto kuwa CCM ndiyo chama kinachotakiwa kuwa madarakani milele hapa Tanzania.

  (Lakini kwa mwanangu watafulia. Akianza kuongea tu, nitamtajia vitu hatari kabisa katika maisha yake. Cha kwanza itakuwa ni CCM)
   
Loading...