Mikutano mikubwa ya kisiasa inaendelea kwenye daladala, mabasi, masokoni, vituo vya bodaboda

Unadhani hao wakuu watabadilika kwa namna youote hata kama Wa tz woo-o-te wakilaumu kwa kutoa mapovu mdomoni ? Hakuna kitu. Naona hali mbaya sana sana ya uchumi miaka michache tu ujao. Kama mapato ya bandari na utalii yameshuka na kwa upande mwingine misaada toka nje ni midogo sana mapato ya serikali yatapungua na inaweza hata kufika mahali ikashindwa kulipa mishahara. Likitokea hilo hakuna anayejua nini kitafuata
INABIDI TU KUFANYA ULE UTARATIBU MAANA ITAKUWA HAKUNA NAMNA,POTELE MBALI.(ALLEPO)
 
14-11-2016 D TZS 1,001,180.00;15-11-2016 D TZS 118.00;21-11-2016 D TZS 118.00;21-11-2016 D TZS 301,180.00;21-11-2016 D TZS 118.00;. Thank you for using EXIM BANK MOBILE.
 
Hakuna namna hata ufanye mambo kiasi gani kama end user anataabika it's non sense
 
Back
Top Bottom