Mikutano aliofanya Mbowe juu ya Corona ni wazi alikuwa "anatoa boko"

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wadau,

Katika Mambo ambayo chadema itapoteza sifa ni baadh ya viongozi Wake kufanya kitu bila kufikiria
Chadema inatakiwa isitoe matamko kwa baadh tu ya chuki zao binafs Ila kwa maslai mapana ya chama.

Chadema swala la Corona na Lock down limewavua nguo mchana kweupe Kama viongoz wastarabu walitakiwa kuchutama na Sio kuendeleza misimamo Yao ambayo imekua aibu kwao.

Mfano leo itokee mnekutana na swal kwenye jukwaa kwanini mlikua mnataka Serekal ifungie watu ndani wakat mnajua kabisa wale watu ni maskin wako radh kutoka ndan kupambana kuliko kujificha. Tena mkafika mbali hata kususia Bunge ili kuonyesha misimamo yenu

Ivi mnafikir chadema wale Wabunge mlio wafukuza kisa wameenda bungeni kwenye majimbo Yao mtawaambia nin hamuoni Kama mnapotea muda?

Kusema kweli chadema mmesha poteana

Chadema mkitaka mjue tayar game imesha kua ngum angalien hata siasa za kwenye mitandao zimeanza kua mgum kwenu sasahivi mnaelemewa na kuanza kutukana badala ya hoja

Uzi nyingi za upinzan siku izi haziongelei Tena miundo mbinu Kama tulivyo zoea Zaman wao walikua wakosoaji wakubwa wa ndani Ila sasaiv wamekua documentary ya Rais Magufuli sababu kila siku wao Wana zungumzia maisha yake upinzan sasaiv haupamban Tena na CCM Ila unapambana na Rais magufuli hii ni AIBU
 
Kaka Chadema walitudanganya sana tukawaunga mkono kumbe tulikua tumepotea.

Hawa ni wahuni hawafai kabisa na mwisho wao ni mwezi wa 10 waende wakajifunze siasa na sio harakati na ulaghai. Magufuli kawafundisha jinsi ya kua Kiongozi.

Eti wame invest kwenye propaganda za social media. Dr Slaa alivyowambia siasa ni sayansi, lazima uwe principled, wenyewe walimbishia wakasema siyo lazima ufuate wanachotaka wengi, ila piga propaganda kubadilisha mitazamo ya watu.
 
Sasa mtu alipata DIVISION ZERO form SIX na Kipaji kizuri alichonacho ni UDJ atakushauri Nini masuala ya kitaalamu Mkuu, Tatizo wanapenda kuangalia GVT imetamka Nini nao wanakuja na Tamko hapohapo kujionyesha jinsi gani kichwani kumejaa makamasi tu!!!
 
Chadema inatakiwa kufutiliwa mbali, Ni hatari kwa usalama wa taifa letu!
 
Habari wadau,

Katika Mambo ambayo chadema itapoteza sifa ni baadh ya viongozi Wake kufanya kitu bila kufikiria
Chadema inatakiwa isitoe matamko kwa baadh tu ya chuki zao binafs Ila kwa maslai mapana ya chama.

Chadema swala la Corona na Lock down limewavua nguo mchana kweupe Kama viongoz wastarabu walitakiwa kuchutama na Sio kuendeleza misimamo Yao ambayo imekua aibu kwao.

Mfano leo itokee mnekutana na swal kwenye jukwaa kwanini mlikua mnataka Serekal ifungie watu ndani wakat mnajua kabisa wale watu ni maskin wako radh kutoka ndan kupambana kuliko kujificha. Tena mkafika mbali hata kususia Bunge ili kuonyesha misimamo yenu

Ivi mnafikir chadema wale Wabunge mlio wafukuza kisa wameenda bungeni kwenye majimbo Yao mtawaambia nin hamuoni Kama mnapotea muda?

Kusema kweli chadema mmesha poteana

Chadema mkitaka mjue tayar game imesha kua ngum angalien hata siasa za kwenye mitandao zimeanza kua mgum kwenu sasahivi mnaelemewa na kuanza kutukana badala ya hoja

Uzi nyingi za upinzan siku izi haziongelei Tena miundo mbinu Kama tulivyo zoea Zaman wao walikua wakosoaji wakubwa wa ndani Ila sasaiv wamekua documentary ya Rais Magufuli sababu kila siku wao Wana zungumzia maisha yake upinzan sasaiv haupamban Tena na CCM Ila unapambana na Rais magufuli hii ni AIBU
UTOPOLO SANA WEWE....Unajua Partial Lockdown maana yake?
 
Mimi wananikera kutukana badala ya kujibu hoja,
kitu kingine wamekuwa watu wa kuongelea watu badala ya sera.
 
Corona bado ipo. Mtawakumbuka hao wanaoshauri mjikinge. Mark this post, time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
Mku sawa Corona bado ipo lakini imepungua sana na twendelee kufuata mashariti kama kunawa mikono . Shida ya wabunge wetu wa Chadema waliotoka kwenda karantine nilishangaa tena wanarudi Bungeni na kujumuika na wale waliowaacha Bungeni. Sasa hapo umefanya nini? Wanatupoteza acha Oct waje majukwani watueleze vizuri.
 
Habari wadau,

Katika Mambo ambayo chadema itapoteza sifa ni baadh ya viongozi Wake kufanya kitu bila kufikiria
Chadema inatakiwa isitoe matamko kwa baadh tu ya chuki zao binafs Ila kwa maslai mapana ya chama.

Chadema swala la Corona na Lock down limewavua nguo mchana kweupe Kama viongoz wastarabu walitakiwa kuchutama na Sio kuendeleza misimamo Yao ambayo imekua aibu kwao.

Mfano leo itokee mnekutana na swal kwenye jukwaa kwanini mlikua mnataka Serekal ifungie watu ndani wakat mnajua kabisa wale watu ni maskin wako radh kutoka ndan kupambana kuliko kujificha. Tena mkafika mbali hata kususia Bunge ili kuonyesha misimamo yenu

Ivi mnafikir chadema wale Wabunge mlio wafukuza kisa wameenda bungeni kwenye majimbo Yao mtawaambia nin hamuoni Kama mnapotea muda?

Kusema kweli chadema mmesha poteana

Chadema mkitaka mjue tayar game imesha kua ngum angalien hata siasa za kwenye mitandao zimeanza kua mgum kwenu sasahivi mnaelemewa na kuanza kutukana badala ya hoja

Uzi nyingi za upinzan siku izi haziongelei Tena miundo mbinu Kama tulivyo zoea Zaman wao walikua wakosoaji wakubwa wa ndani Ila sasaiv wamekua documentary ya Rais Magufuli sababu kila siku wao Wana zungumzia maisha yake upinzan sasaiv haupamban Tena na CCM Ila unapambana na Rais magufuli hii ni AIBU
Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!
 
Back
Top Bottom