mikubwa mizima;shame on you!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mikubwa mizima;shame on you!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 24, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,381
  Likes Received: 5,665
  Trophy Points: 280
  pole sio wewe hii sijui ni kaugonjwa jamani ama niwatanzania tuko wavivu atupendi kufanya kazi..nani amekwambia kubeba zege sio kazi
  kuna watu wanaishi kwa kuzibua vyoo na watoto wanaenda choo achilia shule swala matumizi ya akili yako kwenye kile unachopata
  nimetoka kimara mwisho nilipofika bucha nikkakuta kudi la vijana wakubwa na katoto kamoja wamevajaa jezi za chelsea wameweka gunia chini wanaomba wapitaji na wenye magari ya kfahari tena wanasimama karibu na barabara,,,,nikasikitika sana niko hapaa kawe nkasemanipiter kununua mazagazaga ya wiki ijayo kumnusuru shemji yenu mamadidy hee hapa pembeni ya kanisa la gwajima nakuta mizee minne na vijana wa rika letu wawili wamelaza gunia tena wanasimamisha magari na hasa daladala wanaomba hela huku wana taamrumbeta za kijani na nyekundu wakipuliza wanadai wana mechi kali leo...jamani jamani kwelii mtafika kwa style hii,,,kwanza naamini hizo hela azifiki zinapotakiwa na wahusika wanaotoa wanajua hilo ila sidhan ni kitu muafaka iwapo kama una ndugu yako ametoka kwenda kawe ujui anaafanya nini embu jaribu ukamwangalie maana wanazidi kujazana huku wakisimamisha magari kuomba mia miambili tuu..kwa nini msipige kelele kwenye daladala mpate hela za uhakika..mateja wanaishi maisha mazuri sana ukiacha yale mambo yetu wanayojipuliza jioni

  embu kama una ndugu unajua aana aka kamchezo mwambie aache jamani wanajiaibisha sijui niseme

  shame on them wajiheshimu wahangaike wapate hela halali hata mafisadi walihangaika kupitisha cheki zote zile bank kuu si mchezo kuna hela walikuwa nayo kwanza ndio zikatoka hizo unazoona wanakula kuku
   
Loading...