Mikosi ni nini?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
7,258
14,034
Mikosi au Gundu ni nini?
Wengi hakupatwa na mambo mabaya hudhani wana mikosi.
Je kuna uhusiano gani kati ya tarehe ya kuzaliwa na mikosi?
Je jina LA MTU laweza kubeba mikosi?
Je mikosi hutokanwa na Kurogwa?
Kuna uhusiano gani kati ya kuchafuka kwa nyota na mikosi?
Je kuna uhusiano gani kati ya alama za mikononi na mikosi?
Je nchi yaweza kuwa na mikosi?
Kuna uhusiano gani kati ya ardhi ya kwenu na mikosi?
Kuna uhusiano gani kati ya sehemu uliyoikanyaga na mikosi?
Je waweza kuiondoa mikosi?
Karibuni wana JF wote tuijadili hii mada kwa marefu na mapana.
 
Nasikia kuna watu wana mikosi, ukijamiiana nao mikosi inakukumba.
Nasikia kuna msanii mmoja wa kike wa Bongo movie, ukimlala tu mambo yako yanaanza kwenda mrama.
CK baada ya kutembea na binti huyu kazi ikayeyuka, na mamilioni yake yakaingia mitini.
 
Mikosi ni dhana ambayo mwanadamu anayo kuwa kutokana na kitu fulani ambacho ulikifanya/walikifanya wazee wako kinakupa matatizo/mateso yasiyoisha mpaka unakufa au ukatatua kwa njia unayoijua/wanaoijua(wazee/wazazi)..kuna majina wazazi wanawapa watoto wao bila kujua/kwa vile alipitia shida au matatizo fulan na kupelekea mtoto wao kuandamwa na mambo yasiyo mazuri mfano majina kama Mateso,Shida,Sikudhani,Tabu,Majuto,Silijui,na nk majina kama hasa si ya kumpa mwanao aisee mana cha moto atakiona
Vilevile Mikosi huwandama watu mfano kama babu yenu alishatenda kosa au kumdhulumu mtu miaka ya nyuma na huyo mtu akaapa kuwa huyu na kizazi chake wasifanikiwe hapo inakula kwenu...japo imekaa ki imani sana
 
Hii unayoiongelea nadhani ni laana.
Au laana na mikosi ni kitu kimoja?
 
¶¶¶∆∆∆
 
Hii unayoiongelea nadhani ni laana.
Au laana na mikosi ni kitu kimoja?

¶¶¶∆∆∆
Hapana ni vitu viwili tofauti mfano hapo kwenye kuwapa majina watoto ni mikosi mana jina linakuwa linashabihiana na mambo anayoyapitia au atakayopitia...
 
Mara nyingi unapoenda hospitali, daktari huwa anauliza kama kuna mtu katika ukoo wako, ana historia ya tatizo hilo na jibu lako humsaidia kujua tatizo lako kwa undani. Vivyo hivyo laana, mikosi na balaa vinaweza kufuata familia yako kama zilivyo baraka pia.
Ndio maana watoto wengi wa viongozi serikali huishia kuwa viongozi, na watoto wengi wa maskini hujikuta wanaishia kuwa katika umaskini zaidi, ni ukweli ulio dhahiri kuwa kilichotendwa na baba huwa kinashuka hadi kwa watoto wake. Ukisoma katika Mithali 13: 22 “Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.” Pia, Zaburi 37:25 “Nalikuwa kijana nami sasa ni mzee, Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa Wala mzao wake akiomba chakula.”
Adamu na Hawa walipotenda dhambi, hukumu kwa mwanamke ilikuwa hivi, Mwanzo 3:15, Mungu aliweka uadui kati ya uzao wa mwanamke na uzao wa nyoka. Kwanini unafikiri Mungu aliweka uadui hata kwa watu ambao hawakuhusika? Jibu ni kuwa yaliyotendwa na wazazi au mababu wa ukoo yana matokeo sana katika maisha ya mtu ya leo. 2Timotheo 1:3-5 “…5 nikiikumbuka imani uliyo nayo isiyo na unafiki, ambayo ilikaa kwanza katika bibi yako Loisi, na katika mama yako Eunike, nami nasadiki wewe nawe unayo.” Kumbe kuna uwezekano wa tabia ya mtu kuunganishwa na familia au ukoo wake. Kama imani yaweza kusafiri kiukoo, vivyo hivyo na tabia ya kutokuamini au uovu mwingine waweza kusafiri kutoka kwa mtu kizazi kimoja hadi kingine.
Ndio maana inawezekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom