Mikorogo ni viambata sumu na losheni za kuchubua zina madhara jee hakuna cream zisizo na madhara?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hili swali huwa najiuliza huwa wanadai losheni za kung'arisha na kuchubua ngozi au mkorogo vi ambata sumu na vina madhara sasa kwani hakuna losheni kama hizo zisizo na madhara????

HICHI KITU HUWA NAJIULIZA SANA SIPATI JIBU
 
Kwani hamuwezi kuishi na ngozi zenu za asili hadi mbadilishe kwa kutumia hizo kemikali? Napenda demu au natural
 
Mwingne hata ajiedt vp bd n kituko,
Unakutana na midole ya miguu kama
Mafungu ya tangawizi, kajaza mihereni
kila kona, akianguka utadhan
kengere ya uji ya ile shule yetu ya
primary enz zile kule ushirombo, usiombee apige chafya ile anajivuta
apige "NNNNCHAAAAA!!!!"
ukimwangalia usoni utakutana na uso
ambao utaamin kweli binadamu
tumetoka kwenye evolution,
Zinjatropus akasome, Akilala akiamka utakutana na uso kama papai huku
umeshuka chin kama pumb
zilizopigwa na jua/joto
 
Mwingne hata ajiedt vp bd n kituko,
Unakutana na midole ya miguu kama
Mafungu ya tangawizi, kajaza mihereni
kila kona, akianguka utadhan
kengere ya uji ya ile shule yetu ya
primary enz zile kule ushirombo, usiombee apige chafya ile anajivuta
apige "NNNNCHAAAAA!!!!"
ukimwangalia usoni utakutana na uso
ambao utaamin kweli binadamu
tumetoka kwenye evolution,
Zinjatropus akasome, Akilala akiamka utakutana na uso kama papai huku
umeshuka chin kama pumb
zilizopigwa na jua/joto
Haha
 
Back
Top Bottom