Mikorogo makorokocho usoni mwa mama zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikorogo makorokocho usoni mwa mama zetu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Yo Yo, Jun 11, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Big up kwa mama zetu.....hongereni sana.....
  [​IMG]

  Mama mzuri kapendezaaaaaa uso unang'aaaa hongera sana mama......usimalize yite mauchie na mtoto wako
  [​IMG]

  dada mie nimekupenda sana mwayegoo...umependeza sana ati.....uso tu mie naupendaga....
  [​IMG]

  dada aiseee umependeza sana dadake.....mie nimependa uso tu bibie kama muzunguuu....nawapendaga mama zetu nyie acheni...
  [​IMG]

  hongereni sana jamani kwa kuupendezesha uso.....

  [​IMG]

  jamani mama yetu pale kushoto si kapendezesha uso wake jamani....
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kama vinyago vile
   
 3. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,788
  Likes Received: 6,302
  Trophy Points: 280
  Kwa nini inakuwa hivi jamani? wanaume tunahusika sana hapa
   
 4. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Michirizi + Ndevu Mungu wangu wee huyu lazima amlipe serengeti boy
   
 5. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  yani ukiwa unaact muvi za mazombi hauongezi chochote usoni
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  arifu sasa hapo unadhalilisha wamama wetu.......lakini si wamependeza....
   
 7. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,971
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Uswazi kwetu hawa ni maqueen wa Nguvu.Yaani huyu anaweza kukusumbua ata mwezi ujapewa Utamu.
   
 8. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Yo Yo yaani mimi hiyo michirizi tu huwa ndio inaniacha hoi, hivi huwa ni side effect ya mkorogo au?? naona kama vinarelate, coz wengi wanaojichubua unakuta wanayo hiyo michirizi! ni aibu, lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,345
  Likes Received: 19,529
  Trophy Points: 280
  ni watanzania hawa? mi sirudi bongo ..hii ni evolution ama ni nini?
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hii mijimama imezeeka inajifanya bado mitoto midogo, hata ijichubuwe vipi na ijipake mirangi ya dunia nzima, umri ushaxema bye bye. Ni mijinga sana.
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kama mashetani.
  Hadi kichefuchefu
   
 12. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sihusiki!
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,722
  Likes Received: 12,781
  Trophy Points: 280
  Vinyago
   
 14. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  ila wamependeza bwana..tatizo mipoda wanayosugua
   
 15. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  da!hawa watu kweli ama photoshop!
   
 16. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,168
  Likes Received: 3,376
  Trophy Points: 280
  Wanatisha kinoma.
   
 17. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  kwa jinsi wote walivyojipodoa, wote wanajiona wamependeza!!..too machi, khaah!!
   
 18. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tatizo zaidi wanapaka poda za watu weupe, wanapojikoroga mikorogo wanasahau kuwa wao bado waafrika kwahiyo wapake poda zinazoendana nao
   
 19. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  mwanaume anayegonga ana moyo sana
   
 20. Amosen

  Amosen Member

  #20
  Jun 11, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Yani mimi mdio walaaaa sitaki kuusika,
  ma bibi wamekuwa ka ndoo ya chokaa
   
Loading...