Mikopo

Oct 3, 2016
74
23
African capital wanatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali dar es salam kwanzia laki mbili mpaka million kumi na tunanunua madeni.

Huitaji dhamana wala mdhamini riba ni 18% kwa mwaka na unalipa ndani ya miezi sita mpaka miaka mitano. Masharti ni uje na kitambulisho cha kazi na cha iraia, picha moja, bank statement na salary slip tatu za miezi ya hivi karibuni.

Tupo posta mpya karibu na NMB HOUSE kwa mawasiliano zaidi piga 0653099785
 
Kuna jamaa alikuja hapa na thread ya hawa hawa african capital,dont try it ni matapeli hata ukitaka kufika ofisini kwao watakwambia tukutane uchochoroni
 
Kuna jamaa alikuja hapa na thread ya hawa hawa african capital,dont try it ni matapeli hata ukitaka kufika ofisini kwao watakwambia tukutane uchochoroni
Acha kuaribu kazi za watu tafadhali, wewe ulitaka mkopo lini ukaambiwa tukutane uchochoroni?? Nimesema kabisa office ipo posta sasa nitakupelekaje uchochoroni
 
ujue mi ndipo mnaniacha mbali salary slip hazijatoka tangu mwezi wa 5 sasa mtu anapatia wapi hizo asee hebu nisaidieni hili otherwise mtumie bank statement au vipi nije
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom