Mikopo ya nje ni suala la Muungano?

Salary Slip

Mikopo ya Nje ni suala la Muungano, Kwahiyo Inatakiwa ikopwe na JMT. Na mkopo unapokopwa kama ni kwa matumizi ya mambo ya Muungano basi utatumika ila ikiwa ni kwa matumizi ya mambo yasio ya Muungano utatakiwa ugaiwe ili kuleta fairness. Kwa mfano mkopo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya Bara, na hilo suala sio la Muungano kwahiyo serekali ya SMT itawajibika kuwamegea pesa Zanzibar kutoka kwenye huo mkopo na wao watafanya mambo watakayojipangia wao wenyewe. kwa sababu huo mkopo hua unalipwa na Serekali ya Muungano kwa mambo ya Muungano.
Kinachokusumbueni kikubwa ni kuwa nyinyi mnahisi kuwa Zanzibar wanapewa hela ya mkopo lakini hawalipi mkopo, bali bara ndio wanaolipa. Hii dhana sio ya kweli kwasababu inayolipa mkopo ni SMT ambayo Zanzibar inachangia ndani yake. Kwahiyo Zanzibar wanashiriki kulipa mikopo ila kwa akili za mitaani hua hatuoni kama wanalipa.
Hela yote ya VISA za wageni ni suala la muungano, Zanzibar kwa mwaka wastani wa watalii ni Laki 5, Kwahiyo SMT inapata kwa uchache dola 50 million kila mwako kutoka watalii wanaokwenda Zanzibar. hiyo njia mja tu niliokutajia ambayo Zanzibar inaingizia SMT mapato na zipo nyengine nyingi tu kama, Kodi zote Za Macompuni ya SImu na Mabenk zinalipwa Bara na zinafanya kazi zake Zanzibar. Tozo zote za mitandao watu walioko Zanzibar wanakatwa na pesa zinakuja Direct Bara kwenye SMT. Na yapo mengi sana ambayo yanataka utulivu kuyaelewa.

Kwa kifupi Zanzibar imekua ikonyonywa sana miaka mingi sana, Mama anajaribu kuleta haki ila jamaii tunashindwa kufahamu. Jiwe alikopa hela nyingi sana na zote zilikuja bara zanzibar hazikwenda na kwenye kulipa Zanzibar walichangia kulipa.
 
watu wanauliza, formula ya caluculation ya mkopo ni ipi ikiwa zanzibar kuna raia hata milioni 3 hawafiki, ila bara kuna milioni 55 na ushee huko. na kama ukisema hapa kuna nchi mbili manake hiyo formular inatakiwa kuwa documented, sio ya maamuzi ya mtu binafsi.
 
Boss, Zesco inapata wapi umeme wake? Na kwanini isiwe Tanesco tu?

Kama TRA ni moja, kwanini ushuru utofautiane?

PAYE inayokatwa visiwani na bara ni sawa? Kwanini?

Je, SMZ inaruhisiwa kuchukua mikopo kwa mambo yasiyo ya Muungano?

Mapato yote yanayoingia kwenye JMT ambayo chanzo chake ni SMZ moja kwa moja ni kiasi gani kwa mwaka?

Tunafahamu bajeti ya SMZ kwa mwaka ilikuwa haifiki bil 500, wanawezaje kumiliki ndege kubwa mbili? Usafirishaji ni jambo la Muungano? Kama ndio, kulikuwa na haja gani ya kuimilikisha SMZ ndege hizo?

Kiitifaki katika muungano, raisi wa SMZ na waziri mkuu wa JMT, nani ni mkubwa?

Raisi wa SMZ anaingia kwenye baraza la mawaziri la JMT kama waziri wa kawaida, kwanini? SMZ ina hadhi sawa na wizara moja ya JMT?

Zaidi, kuwa na viongozi lukuki kwa kakusiwa kama ZNZ ni kupoteza fursa ya kukua haraka kiuchumi, pesa zinaishia matumboni mwa viongozi, kuwahudumia na kuwalipa stahiki! Kwa rekodi, wanasema, SMZ ni corrupt kuliko Nigeria
 
Mi nadhani wangegawa 50% kwa 50% tu, kwahiyo wala urojo waanze kudai bil 320 zilizobaki kwenye mkopo wa uviko, si ni nchi mbili sawa zilizoungana?

Hivi, na wao wanavitambulisho vya NIDA pia? Vile vya MKAAZI huwa vinatumikaje? Kuwanyima wabara ardhi na uongozi?
 
kama ni kugawana kwa namna hiyo, hata kuchangia kwenye uchumi kuwe hivyo, na pia hata kulipa pia. na pia, iwe kwenye katiba, sio kwenye maamuzi ya watu.
 
Boss, Zesco inapata wapi umeme wake? Na kwanini isiwe Tanesco tu?

Kama TRA ni moja, kwanini ushuru utofautiane?

PAYE inayokatwa visiwani na bara ni sawa? Kwanini?

Je, SMZ inaruhisiwa kuchukua mikopo kwa mambo yasiyo ya Muungano?

Mapato yote yanayoingia kwenye JMT ambayo chanzo chake ni SMZ moja kwa moja ni kiasi gani kwa mwaka?

Tunafahamu bajeti ya SMZ kwa mwaka ilikuwa haifiki bil 500, wanawezaje kumiliki ndege kubwa mbili? Usafirishaji ni jambo la Muungano? Kama ndio, kulikuwa na haja gani ya kuimilikisha SMZ ndege hizo?

Kiitifaki katika muungano, raisi wa SMZ na waziri mkuu wa JMT, nani ni mkubwa?

Raisi wa SMZ anaingia kwenye baraza la mawaziri la JMT kama waziri wa kawaida, kwanini? SMZ ina hadhi sawa na wizara moja ya JMT?

Zaidi, kuwa na viongozi lukuki kwa kakusiwa kama ZNZ ni kupoteza fursa ya kukua haraka kiuchumi, pesa zinaishia matumboni mwa viongozi, kuwahudumia na kuwalipa stahiki! Kwa rekodi, wanasema, SMZ ni corrupt kuliko Nigeria
katiba mpya inahitajika. kumbe hata ile ndege wamepewa? kwani atcl ni ya muungano? au sielewi. nafikiri kuna haja kujibu maswali mengi ili watu wasijadili tena hii kitu.
 
Zaidi, kuwa na viongozi lukuki kwa kakusiwa kama ZNZ ni kupoteza fursa ya kukua haraka kiuchumi, pesa zinaishia matumboni mwa viongozi, kuwahudumia na kuwalipa stahiki! Kwa rekodi, wanasema, SMZ ni corrupt kuliko Nigeria

Hilo mbona lipo wazi kabisa, na ndio mana CCM Zanzibar imeshakataliwa kwa miaka mingi sana, Lakini Wabara ndio wanaopeleka JWTZ na TISS kwenda kuhakikisha hao corrupt leaders waendelee kubaki madarakani.
 
Na hii mikopo inayochukuliwa na Muungano, haina riba kweli? Nasikia asilimia 99 ya wakaazi hawapaswi kuchukua riba, mbona kama hili wamelikalia kimya?
 
Kwa hiyo mlitaka Ndugai asijiuzulu USPIKA?
Sema Ndungai hakuwa anatosha kwenye nafasi ya Uspeaker. Na hili niliwahi kulisema tangu 2015 kwamba viatu alivyokuwa amevivaa vilikuwa vinampwaya sana ukilinganisha na watangulizi wake ( Anne Makinda, Samwel Sitta au P. Msekwa). Alikuwa ni Speaker kigeugeu sana; hakuwa na msimamo kama Mkuu wa moja ya mihimili ya JMT.
Sasa alichofanya majuzi kuikemea Serikali juu ya ukopaji, kilikuwa sahihi kabisa; ilikuwa ni wajibu wake, kwanza kikatiba lakini pia kama Mkuu wa chombo kama Bunge. Sema tu Watanzania hawakumwunga mkono katika kauli yake kwa ya ukigeugeu na kutokuwa na msimamo. Kuna mambo mengi alikosa umahiri, kwa mfano kuwaruhusu wale Wabunge wa CHADEMA bungeni ilihali chama Chao kimewavua uanachama.
 
Unahisi ndugai alikua na nguvu ya kuwaruhusu wabunge wasio na chama bungeni?
Shida haikuwa Kwa Bunge shida ni nguvu kubwa aliyopewa rais basi, spika yeyote atakayetaka kutenda kazi yake sawasawa itamuwia vigumu Sana kubaki kwenye nafasi ya uspika.
 
ZECO inanunua umeme kutoka kwa TANESCO, hayo ambo sio ya Muungano na ndio mana kila mmoja ana shirika lake.
Unaweza thibitisha kuwa wananunua umeme kutoka kwa Tanesco? Muulize Shein kwanini aling'aka kuwa watawasha koroboi!

Waya inayopeleka umeme ZNZ ilipo-pancha baharini, nani aliingia gharama ya matengenezo?

Nasikia gharama za kuunga umeme kwa bara zimepanda, visiwani zimeshuka, ni kweli?
 
Salary Slip

Mikopo ya Nje ni suala la Muungano, Kwahiyo Inatakiwa ikopwe na JMT. Na mkopo unapokopwa kama ni kwa matumizi ya mambo ya Muungano basi utatumika ila ikiwa ni kwa matumizi ya mambo yasio ya Muungano utatakiwa ugaiwe ili kuleta fairness. Kwa mfano mkopo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya Bara, na hilo suala sio la Muungano kwahiyo serekali ya SMT itawajibika kuwamegea pesa Zanzibar kutoka kwenye huo mkopo na wao watafanya mambo watakayojipangia wao wenyewe. kwa sababu huo mkopo hua unalipwa na Serekali ya Muungano kwa mambo ya Muungano.
Kinachokusumbueni kikubwa ni kuwa nyinyi mnahisi kuwa Zanzibar wanapewa hela ya mkopo lakini hawalipi mkopo, bali bara ndio wanaolipa. Hii dhana sio ya kweli kwasababu inayolipa mkopo ni SMT ambayo Zanzibar inachangia ndani yake. Kwahiyo Zanzibar wanashiriki kulipa mikopo ila kwa akili za mitaani hua hatuoni kama wanalipa.
Hela yote ya VISA za wageni ni suala la muungano, Zanzibar kwa mwaka wastani wa watalii ni Laki 5, Kwahiyo SMT inapata kwa uchache dola 50 million kila mwako kutoka watalii wanaokwenda Zanzibar. hiyo njia mja tu niliokutajia ambayo Zanzibar inaingizia SMT mapato na zipo nyengine nyingi tu kama, Kodi zote Za Macompuni ya SImu na Mabenk zinalipwa Bara na zinafanya kazi zake Zanzibar. Tozo zote za mitandao watu walioko Zanzibar wanakatwa na pesa zinakuja Direct Bara kwenye SMT. Na yapo mengi sana ambayo yanataka utulivu kuyaelewa.

Kwa kifupi Zanzibar imekua ikonyonywa sana miaka mingi sana, Mama anajaribu kuleta haki ila jamaii tunashindwa kufahamu. Jiwe alikopa hela nyingi sana na zote zilikuja bara zanzibar hazikwenda na kwenye kulipa Zanzibar walichangia kulipa.
Asante kwa kuwaambia ila sio kwamba hawafahamu bali kuna kujitoa ufahamu ili Wazanzibari waone wanapendelewa. Kwa bahati Wazanzibari wanajua na hawadanganyiki. Huwa wanapenda kujimwabafy
 
Back
Top Bottom