Mikopo ya Matrekta ya Kibaha ni kwa watu wa CCM tu?

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,989
4,129
Hapa Tanzania kuna kampuni inayofanya assembling ya matrekta kutoka Poland.
Kiwanda hicho kipo Eneo la Kibaha Pwani, mahali kilipokuwepo kiwanda cha Tamco kilichokuwa kinafanya assembling ya Scania na Trekta za Valmet.

Matrekta hayo yanauzwa kwa bei ya tsh.55Mln. Aina ya Arsus.
Lakini pia yanatolewa kwa mkopo, masharti yake ni Uwe na cash, tsh 12Mln na pia uwe na kadi ya CCM, bila hiyo kadi hupati mkopo.

Yaani kinachofanyika ni kunyima fursa watu wengine wenye nia na mkopo huo wa trekta, kila mtu awe CCM.

Poland ni nchi ya ki soshalisti ambayo sera zake za kiuchumi zime fail, wanaishi kwa kutegemea hisani za wazungu wenzao, sasa wamekuja Tanzania kupitia wadau wao wa CCM na kuhakikisha hupati trekta bila kuwaunga mkono CCM,
Huu ni ujinga tunaoendelea kuutunza, aisee, nimeshangaa sana, sipati picha kabisa.

Tunapoelekea tutakosa huduma za msingi hospitali na mashuleni bila kuwa na kadi ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tractor aina ya Ursus sio Arsus.

Kuhusu kadi ya chama nahisi kama nchi tumefikia sehemu nzuri sana kiasi kwamba ili upate mkopo unalazimishwa kuwa na political affiliation.
 
Hapa Tanzania kuna kampuni inayofanya assembling ya matrekta kutoka Poland.
Kiwanda hicho kipo Eneo la Kibaha Pwani, mahali kilipokuwepo kiwanda cha Tamco kilichokuwa kinafanya assembling ya Scania na Trekta za Valmet.

Matrekta hayo yanauzwa kwa bei ya tsh.55Mln. Aina ya Arsus.
Lakini pia yanatolewa kwa mkopo, masharti yake ni Uwe na cash, tsh 12Mln na pia uwe na kadi ya CCM, bila hiyo kadi hupati mkopo.
Yaani kinachofanyika ni kunyima fursa watu wengine wenye nia na mkopo huo wa trekta, kila mtu awe CCM.
Poland ni nchi ya ki soshalisti ambayo sera zake za kiuchumi zime fail, wanaishi kwa kutegemea hisani za wazungu wenzao, sasa wamekuja Tanzania kupitia wadau wao wa CCM na kuhakikisha hupati trekta bila kuwaunga mkono CCM,
Huu ni ujinga tunaoendelea kuutunza, aisee, nimeshangaa sana, sipati picha kabisa.
Tunapoelekea tutakosa huduma za msingi hospitali na mashuleni bila kuwa na kadi ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kadi Mia ngapi? Kachukue kadi uvute kitendea kazi maisha yaendelee. Tena ongea na Katibu akuandikie tarehe za kujiunga za miaka ya nyuma ili isionekane umefuata mkopo.

chukua kadi ya CCM, vuta mkopo wa trekta afu October 2020 piga kura yako kimyakimya kwa unayemtaka.

simple, eh?
 
Mkuu sipendi kudanganya nafsi yangu, hicho ndo kinatuangusha watanzania, kupenda pesa na kuangusha utu wako, hujui unawaathiri watu wa ngapi kwa unafiki wako. Ndo maana siasa ni imani au ni movement sio masula ya kutafuta mlo, kama kula nakula.

Upinzani waingize tractor za Massey au John Deer au Holland waseme ni kwa ajili ya wanachama wa upinzani tu. CCM wataelewa somo.Kwanza nani anataka tractor ya Poland?
 
Hapa Tanzania kuna kampuni inayofanya assembling ya matrekta kutoka Poland.
Kiwanda hicho kipo Eneo la Kibaha Pwani, mahali kilipokuwepo kiwanda cha Tamco kilichokuwa kinafanya assembling ya Scania na Trekta za Valmet.

Matrekta hayo yanauzwa kwa bei ya tsh.55Mln. Aina ya Arsus.
Lakini pia yanatolewa kwa mkopo, masharti yake ni Uwe na cash, tsh 12Mln na pia uwe na kadi ya CCM, bila hiyo kadi hupati mkopo.
Yaani kinachofanyika ni kunyima fursa watu wengine wenye nia na mkopo huo wa trekta, kila mtu awe CCM.
Poland ni nchi ya ki soshalisti ambayo sera zake za kiuchumi zime fail, wanaishi kwa kutegemea hisani za wazungu wenzao, sasa wamekuja Tanzania kupitia wadau wao wa CCM na kuhakikisha hupati trekta bila kuwaunga mkono CCM,
Huu ni ujinga tunaoendelea kuutunza, aisee, nimeshangaa sana, sipati picha kabisa.
Tunapoelekea tutakosa huduma za msingi hospitali na mashuleni bila kuwa na kadi ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na kadi sio itikadi,kachukue kadi kama ni kigezo ukishapata trekta unawarudishia kadi yao rahisi mbona
 
Mkuu sipendi kudanganya nafsi yangu, hicho ndo kinatuangusha watanzania, kupenda pesa na kuangusha utu wako, hujui unawaathiri watu wa ngapi kwa unafiki wako. Ndo maana siasa ni imani au ni movement sio masula ya kutafuta mlo, kama kula nakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni kweli usemacho lini wameanza mambo hizo mbona jamaa yangu kavuta ursus bila kadi
 
Upinzani waingize tractor za Massey au John Deer au Holland waseme ni kwa ajili ya wanachama wa upinzani tu. CCM wataelewa somo.Kwanza nani anataka tractor ya Poland?
Zinatolewa bila itikadi mbona ukitaka John deer,case tractor, deutz ni wewe masharti yao tu
 
Tafuta tu kadi mkuu! Muhimu upate trekta uendeshe maisha, hizi siasa zipo tu usiziruhusu zikukwamishe kufikia malengo yako.
 
Mkuu sipendi kudanganya nafsi yangu, hicho ndo kinatuangusha watanzania, kupenda pesa na kuangusha utu wako, hujui unawaathiri watu wa ngapi kwa unafiki wako. Ndo maana siasa ni imani au ni movement sio masula ya kutafuta mlo, kama kula nakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo hakuna unafiki.... ni wajinga ndiyo waliwao rather!
 
Back
Top Bottom