Mikopo ya Elimu ya Juu: Je, watumishi wa Umma wana ruzuku ya kusomesha watoto wao tofauti na wengine?

Nilishasema humu kuwa, iyo bodi ya mikopo imejikita kibiashara zaid kulko kuhudumia jamii.

Ndiomaana huduma hiyo haiwalengi wahitaji ambao ni mayatima, masikini na wasio na uwezo,

Hiyo bodi haina utofaut na mabenki ambayo ili ukopesheke basi inatakiwa uwe na dhamana ya Mali zako& uwezo wa ajira ya kuaminika, or otherwise utasugua goti kwa machozi na hutopata hata sent-moja.

Bodi ya mikopo ni hovyo Sana, inahitaji marekebisho makubwa Sana ili ifanye kazi nzuri.

Ttzo ni pale hii bodi inapofunga ndoa na wanasiasa kuifanya kuwa sehem ya wao kujipatia Kiki za kiasa na sifa za kipuuzi ndyo hayo matokeo unayaona wanaforce tuwaone wametoa mikopo kwa wanafunzi wengi, kumbe walichofanya ni equal to zero, yani wameharibu kabsa...
Eti mtu niyatima na anatika kaya maskini mlezi anakitambulisho cha TASAF kisha anapewa ada hata nusu haifiki
Huyo mama ambaye ndio mkurugenzi wa uchambuzi na upangaji mikopo ataondoka hapo bodi kwa dhuluma na roho mbaya anayofanyia watoto wakimaskini na yatima.
 
Back
Top Bottom