Mikopo ya elimu kwa wafanyakazi waliopo masomoni

Nkanaga

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
653
619
Nipo chuo kimojawapo cha binafsi hapa nchini nikichukua Bachelor of Education in Special needs(BEdSN) naingia mwaka wa pili. Tangu nimejiunga sijafanikiwa kupata mkopo kupitia Bodi ya mikopo kwa wanafunzi waliopo elimu ya juu HESLB. Tatizo hilo ni kwa nchi nzima. Nauliza kama kuna mwenye taarifa kuwa hivi karibuni nimesikia taarifa kua mifuko ya jamii kama PSPF na NSSF ipo mbioni kutoa mikopo hiyo. Kwa mwenye taarifa na ukweli juu ya jambo hili tafadhali naomba kujulishwa.JF kimbilio la taarifa zote siku zote heshima kwenu..
 
Mkuu, mimi naenda kumng'oa huyo mama 2015 kupitia Chadema.[/QU Mkuu nafurahi kusikia taarifa hizo, tupo pamoja sana! Shaka ondoa, cha msingi ni kuhamasishana turudi home mara nyingi iwezekavyo kuendeleza elimu ya uraia, tuna mtaji mkubwa sana wa vijana walioko ktk shule.
 
Nipo chuo kimojawapo cha binafsi hapa nchini nikichukua Bachelor of Education in Special needs(BEdSN) naingia mwaka wa pili. Tangu nimejiunga sijafanikiwa kupata mkopo kupitia Bodi ya mikopo kwa wanafunzi waliopo elimu ya juu HESLB. Tatizo hilo ni kwa nchi nzima. Nauliza kama kuna mwenye taarifa kuwa hivi karibuni nimesikia taarifa kua mifuko ya jamii kama PSPF na NSSF ipo mbioni kutoa mikopo hiyo. Kwa mwenye taarifa na ukweli juu ya jambo hili tafadhali naomba kujulishwa.JF kimbilio la taarifa zote siku zote heshima kwenu..

chuo fulani cha kibinafi Sekuco.
 
Back
Top Bottom