Mikopo ya dharura - kanda ya kaskazini

Berater

New Member
Nov 27, 2010
4
0
Ikiwa wewe ni mwajiriwa serikalini na unafanya kazi katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha au Manyara,unaweza kupata msaada wa mkopo mdogo usiozidi shilingi laki moja wakati wowote upatapo dharura kama vile ugonjwa, msiba,kuishiwa pesa katikati ya mwezi, mshahara kuchelewa n.k. Ili uweze kufaidika na mpango huu tutahitaji kukufahamu kwanza. Utakapowasiliana nasi mmojawapo katika timu yetu atapanga kuja kukutembelea mahali pako pa kazi na akiridhika juu ya uhakika wa ajira yako tutakuweka katika orodha ya watu wanaoweza kukopa wakati wowote. Kumbuka hatumkopeshi mtu ambaye hatujawahi kuonana naye ana kwa ana.

Wasiliana nasi sasa kwa namba zifuatazo:
0773817145 au 0786817145

Wajulishe na wengine habari hii njema.
 
Kuna jirani yangu hapa ametajirika kwa wizi kama huo! Riba 40-50%! Wanaoathirika zaidi na wizi huu ni waalimu, manesi, askari nk! sitofautishi na mtu anayemkopesha mkulima kwa masharti ya kurudisha gunia la mpunga kwa kila elf10!:redfaces:
Mjisajili ili angalau mlipe kodi serikalini!
 
Riba ni asilimia ishirini ya mkopo.
Nadhani wakati umefika kwa ninyi mnaonyonya majasho ya watanzania maskini kuanza kushughulikiwa na TRA kwani mnavuna faida ambayo hamuiwakilishi TRA

Its a rip-off tupu

mbona huwambiii wanajeshi basi unaonea manesi na walimu?
 
Kuna jirani yangu hapa ametajirika kwa wizi kama huo! Riba 40-50%! Wanaoathirika zaidi na wizi huu ni waalimu, manesi, askari nk! sitofautishi na mtu anayemkopesha mkulima kwa masharti ya kurudisha gunia la mpunga kwa kila elf10!:redfaces:
Mjisajili ili angalau mlipe kodi serikalini!

Tupo kwenye mchakato wa usajili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom