Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

Ndio,

hoja hapa nikweli tunategemea misaada? Imejibiwa

Nikweli kweli Serikali ya Rais Samia ni ya misaada? Jibu hapa hata mtangulizi wake alipokea pia

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
8.2% -8.1% = 0.1% 😳
 
Ndio,

hoja hapa nikweli tunategemea misaada? Imejibiwa

Nikweli kweli Serikali ya Rais Samia ni ya misaada? Jibu hapa hata mtangulizi wake alipokea pia

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei.​

" Hakuna kama Samia "​

Sisi Tanzania kama nchi nyingine duniani tunapokea misaada na mikopo toka nchi wahisani pamoja na mashirika mbalimbali ya kifedha duniani kama World Bank ( WB ),International Monetary Fund ( IMF) African development Bank ( AfDB ), ADB, AIIB, EDRD, ISDB,UNDP,CEDB na mengine mengi ambayo ni multilateral finincial Institutions yaani ( IFIs )

Katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia Suluhu Hassan amejikita zaidi kulipeleka Taifa kwenye kujitegemea kibajeti zaidi kwa kupunguza misaada na mikopo nafuu toka kwa wahisani ( donor country ) kutoka 8.2% ya bajeti ya FY2020|21 hadi 8.1% FY 2021|22 kwa lugha rahisi Rais Samia Suluhu Serikali yake imepunguza asilimia za misaada toka kwa wanaoitwa mabeberu,

Mtakumbuka katika bajeti ya FY2020|21 bajeti kuu ilikuwa ni Tshs 34.88trilioni huku mikopo nafuu na misaada ilikuwa Tshs 2.87trilioni sawa na 8.2% ya bajeti hiyo lakini mwaka huu katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia ametenga Tshs 36.33% huku mikopo nafuu na misaada ikiwa ni Tshs 2.96trilioni sawa na 8.1% ya bajeti nzima ya Tshs 36.33trilioni.

Nikweli Tanzania tunapokea misaada na mikopo ya masharti nafuu kama wenzetu mbalimbali na tunaifurahia sana ikiwezekana tupewe tena na tena lakini kamwe hatuitegemei kwa 100% kwa lugha nyingine kukosekana kwa misaasa hakuifanyi Tanzania yetu ishindwe kulipa Mishahara ya watumishi wote wa umma,kuendesha Serikali kikamilifu ,kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu nchini kama SGR, JNHPP, Usambazaji wa maji safi na Salama mjini na vijijini,kusomesha watoto wote bure,Bima ya Afya kwa wote, REA,Ajira mpya, HESLB kwa kila mwenye sifa,Ununuzi wa ndege mpya 5 na mengine mengi,

Sikiliza hii, ikiwa bajeti yetu ya FY 2021|22 tumepanga kutumia Tshs 36.33trilioni na misaada|mikopo nafuu ni Tshs 2.96trilioni tu,Huku zakwetu sisi wenyewe toka kwenye kodi zetu na mikopo mbalimbali ni Jumla ya Tshs 33.37trilioni sawa na 91.9%,Tujiulize,Je! kama sisi wenyewe tunajitosheleza kwa 91.9% wewe unapata wapi Ujasiri wa kusema Tanzania tunategemea misaada ambayo ni 8.1%?!! acheni kujidharau dunia inatuheshimu sana Watanzania hasa sasa chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.

View attachment 1976452VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
Rais is doing marvelous
 
Mama hata ujipigie debe vipi, kazi imeishakushinda
Ziara ya Rais Samia Kilimanjaro na Mapokezi Arusha yamefana sana. Watu wanajitokeza kwa wingi kwenye mikutano na pote anasimama, wana hamasa kubwa, wanaonyesha imani kubwa kwa Rais, Upendo mwingi, matumaini na namna anawaongoza, wengi wanakiri na kukubali Mama anafanya Makubwa!
 
Wajinga na vichaa ni wengi tz
 
Ziara ya Rais Samia Kilimanjaro na Mapokezi Arusha yamefana sana. Watu wanajitokeza kwa wingi kwenye mikutano na pote anasimama, wana hamasa kubwa, wanaonyesha imani kubwa kwa Rais, Upendo mwingi, matumaini na namna anawaongoza, wengi wanakiri na kukubali Mama anafanya Makubwa!
Nikweli kabisa hata mimi nimeona hilo hamasa ni kubwa sana,

Hongera sana Mhe Rais Samia
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom