Mikopo na madeni nimepoteza amani na watu ninaowapenda. Nimekuwa mzigo kwa familia. Nitasimama tena?

Madeni huwa yanavuruga sana aisee, nilimkopesha rafiki yangu tukavutana sana. Ikawa tena hapokei calls zangu. Ikabidi nimsake anapopatikana anieleze kinagaubaga nini kinamsibu. Aisee mambo alokuwa anapitia nikajikuta mimi kumbe shida zangu zina kaunafuu. Ikabidi tu nimsamehe deni nimtafutie na zingine zimboost kidogo.

Kuna wakati mambo yanavurugika hadi unahisi dunia imekuelemea. Usikate tamaa mkuu, pambana tu kitaeleweka.
Ubarikiwe.
 
Auntie kuna wakati unaweza kukomaa tu kumdai mtu kumbe ndio unamzidishia maumivu maana anayopitia ni mazito haswa. Ukiweza kama ni mtu wako wa karibu na unajua sio msanii basi unamuacha tu.
Kweli kabisa auntie akipata atatoa asipopata ndio basi tunamwachia Mungu
 
Back
Top Bottom