Mikopo mikopo mikopo.....kwa ajili yako, kampuni yako na staff wa hiyo kampuni.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Wadau.... Kizuri kula na nduguyo....Internationa Commercial Bank inatoa mikopo kwa ajili yako, Kampuni yako na hata staff wa hiyo kampuni kwa riba nafuuu na muda mfupi.

1. Mikopo kwa ajili ya staff wa kampuni inategemeana na mishahara yao.
Aina: Express Loan, Car Loan and Morgage Loan
Vigezo:
(a). Kufungua Account.
(B). Mshahara kupita kwa account yako kwa miezi 3

2. Mkopo kwa kampuni unatoka kuanzia Mil 200 na kuendelea:
Aina: Long term loan-3years na Overdraft 1year
Vigezo:
(a). Collateral/Dhamana
(b). Bank statement

Riba ya mikopo yetu yote ina range in between 19 to 24% but still ni negotiable.

Kwa Maelezo Zaidi Please call: 0756 517 588 or 0652 590 519 uliza Ibrahim.
 
Kubali kuishi kama mtumwa kwa sasa ili uje uishi kama mfalme baadae....!

Yeah... through my hard work... kwa mfumo wa ajira za sikuhiz .. na kundi kubwa la wananchi walio chini ya viwango vya kibenki ili wakopeshe...benki zote mizinguo tu.. unaishia kuwa na utitiri wa akaunti ambao hazina msaada wowote....

Warekebishe masharti yao....
 
wadau.... Kizuri kula na nduguyo....internationa commercial bank inatoa mikopo kwa ajili yako, kampuni yako na hata staff wa hiyo kampuni kwa riba nafuuu na muda mfupi.

1. Mikopo kwa ajili ya staff wa kampuni inategemeana na mishahara yao.
Aina: Express loan, car loan and morgage loan
vigezo:
(a). Kufungua account.
(b). Mshahara kupita kwa account yako kwa miezi 3

2. Mkopo kwa kampuni unatoka kuanzia mil 200 na kuendelea:
Aina: Long term loan-3years na overdraft 1year
vigezo:
(a). Collateral/dhamana
(b). Bank statement

riba ya mikopo yetu yote ina range in between 19 to 24% but still ni negotiable.

Kwa maelezo zaidi please call: 0756 517 588 or 0652 590 519 uliza ibrahim.

kwa mfano mimi nina ofisi yangu ambayo nauza vinywaji reja reja na nina mfanya kazi je naweza kumuombea yeye apate mkopo wa vinywaji vya jumla ikiwemo soda za bakhresa na cocacola na pepsi na maji za azam?
Kama anaweza kukopa kwa niaba yangu niambieni ni vigezo gani anatakiwa kuwa navyo ili apate mkopo?
Asante kunijibu
 
Sijaajiriwa ninafanya biashara binafsi,ninajenga nyumba na kuzipangisha/kuziuza,ninaweza kusaidika hapo?hata kama makusanyo ya kodi zangu yatapitia kwenye benki yenu je nitahitaji kufanya nini kingine ili ni fit kupata mkopo wenu?
 
je hizo nyumba zina hatiii?
 
Kwa wale wafanyakazi waserikali am so mshara wao unanzia laki3 waweza kopeshawa bei gan
 
Sijaajiriwa ninafanya biashara binafsi,ninajenga nyumba na kuzipangisha/kuziuza,ninaweza kusaidika hapo?hata kama makusanyo ya kodi zangu yatapitia kwenye benki yenu je nitahitaji kufanya nini kingine ili ni fit kupata mkopo wenu?
Kwema bro.naweza pata mawasiliano yako dm.
 
Back
Top Bottom