mikopo kwa inservice.

naombeni hivi ni kweli bodi ya mikopo hawatoi mikopo kwa inservice?naombeni jibu.

umefanya mtihan wa form 6 mwaka gan?kumbuka usiambatanishe vtu vfuatavyo ktambulisho cha kaz,salary slip usiseme kama ww n mwajiriwa utapata,mm nmeanza kaz ualim mwaka 2008 naingia mwaka wa pl nalamba kama milion 3,965,500 sawa na asilimia 90% Ujanja wako ndo utakusaidia...!
 
nimemaliza 2009 na nimeanza kazi mwaka jana ila next year nataka kuomba chuo,sasa c unajua pesa tatizo nilikuwa cjui cha kufanya.nashukuru sana kwa kunifumbua macho.naomba zaidi ushauri wako.
 
Kama ni mwalimu utaweza kupewa.ila kwa kada nyingne,cdhani kama hilo litawezekana.over
 
Back
Top Bottom