Mikopo kutoka International Branch.

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
333
225
Habari za humu.
Naombeni kuuliza. Kuna aliyewahi kupata mkopo kutoka International Branch? Yaani mkopo wa online. Maana hawa branch wanadai kuwa wanatoa mikopo online Kenya na Tanzania.

Tujuzane.
 
mtumbaya

Senior Member
Sep 11, 2016
127
225
Habari za humu.
Naombeni kuuliza. Kuna aliyewahi kupata mkopo kutoka International Branch? Yaani mkopo wa online. Maana hawa branch wanadai kuwa wanatoa mikopo online Kenya na Tanzania.

Tujuzane.
Ni kweli wanatoa kianzio ni kulingana na miamala yakinya voda.japo ribs ipo juu kidogo
 
Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
5,537
2,000
Hamna dhamana unaanza na mkopo mdogo mfno mimi nilikopa 20,000 nalupa riba ya 23,000
 
Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
978
1,000
Nimedownload app yao na kusoma inafanyaje kazi na vigezo na masharti yake ni kuwa moja ya vigezo unapaswa kuwa mtumiaji mzuri WA Facebook na ambae unapost za kutosha mara kwa mara,hii wanaitumia kuweza kupima score za uaminifu WA mtu,yani kuverify muombaji,pia wanahitaji muombaji kuambatanisha national ID number,pia wanatumia system yao kuaccess data za simu yako hii inamaana gani wao wanaweza kuaccess chip namba yako,imei yako nadhani ili ukija kuzingua wakuriport crb hii ni credit bureau.

Sasa hapo nadhani mtu unapata majibu wanajiamini vipi,jaribu kukopa halafu uzingue ndio utajua wanakupataje...
 
Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
333
225
Mfano kwenye ID number umesajilia jina tofauti na jina la fb inaweza kusababisha mtu asipate mkopo?
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,075
2,000
Habari za humu.
Naombeni kuuliza. Kuna aliyewahi kupata mkopo kutoka International Branch? Yaani mkopo wa online. Maana hawa branch wanadai kuwa wanatoa mikopo online Kenya na Tanzania.

Tujuzane.
Wezi watupu,changa la macho hilo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom