Hata matiko naye mwehu tu,swali gani hilo sasa? Hakuna mtu analalamikia hiyo 15 asilimia.
Watu wanalamikia hayo mapenalt ambayo haya elezeki.
Mfano:1amoja na hiyo as.15 mtu anapigwa faini mfano kutoka mil.6 hadi kumi
2eni likiisha kwenye salary slip unaambiwa hilo siyo deni halisi.Deni halisi liko wap?
3: Umemaliza deni kwenye slip unaambiwa bado Retention fee.Faini ya mil.4 sijui ina cover nini
4eni la mdaiwa kwa watumishi mfano,afisa utumishi amalize kila kitu,mpk certificate of clearance Mtumishi aikute hapo.
5: Inakuwaje makato yapitie kwa afisa utumishi,halafu certificate of clearance unaambiwa wasiliana na Bodi.Ukiwasiliana na Bodi unaambiwa deni lako bado huku.
Mambo kama haya ni kero kupindukia.
Au mtu deni lake likiisha mfumo automatically ugenerete certificate kwani shida iko wapi? Laki wabunge wetu ndiyo hao,swali km hilo unataka Waziri ajibu nini?
Hata kama ingekuwa asilimia 20,haina shida,shida kubambikiwa madeni
Huyu prof angepata walau bafasi ya kufikishwa mahakamani kwa kosa flan wanafunga miaka mingi maana anaulizwa tafauti anajibu vingine.
Anyaway huo mkopo ji kama chuma ulete ya serekali kuwakamua wafanyakazi. Ni mkopo.wa.kinyonyaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.