Mikopo Elimu ya Juu: Vijana wengi wamelala sana, hawajui kitu kuhusu kupigania haki

Pendo Julliet

JF-Expert Member
Sep 15, 2017
243
324
Hili ni kwenu vijana wa kitanzania wasomi wa vyuo vikuu.

Vijana hamfahamu hata HAKI zenu za msingi yani hamjielewi, hamjitambui na mpo mpo tu kama juzi na jana vile.

Mambo mengi ya hovyo yanayoendelea kufanywa na wabinafsi wachache walohodhi madaraka ya nchi huko Tanzania yanathibitisha hili la vijana kutojitambua.

Mfano wa hivi karibuni ni Mikopo ya elimu ya juu, hapa HAKI zenu zimepokwa wachache wamepata na wengi wamebaguliwa kwa kukosa mikopo hivyo kupoteza HAKI ya kimsingi sana ya kueza kupata elimu ya juu kwa kushindwa kumudu gharama za masomo.

Wengine ni continuing student mwaka ulopita walipata mkopo mwaka unaofata wananyimwa kwa sababu zisizo na mantiki tena huu ni ubaguzi tu kama ule wa makaburu wa South Afrika.

Sasa ajabu sana kwa vijana wa kitanzania ambao ni wasomi wanashindwa kudai HAKI zao na utagundua hata viongozi na mashirikisho ya vyuo vikuu sijui wanaita TAHLISO nao wanashiriki katika kupoka HAKI za wenzao wahitaji wa mikopo kwa kuendelea kubaki kimya bila hata kuonesha kupinga hata kwa kukemea tu au kulaani. Kwanza hawa viongozi hawastahili kuendelea kuongoza hayo mashirikisho.

Wasomi kwa nchi zilizoendelea wanakuwa ni mfano wa kuigwa kwenye jamii na kuhakikisha mambo yote yanaenda sawa kwa kufata taratibu zinazotakiwa, sheria na HAKI bila dhulma na uonevu unaojengwa kwenye misingi yoyote ile.

Wanaotarajia huruma za wadhalimu na wabaguzi ili kupata mikopo bila kuchukua hatua za kudai HAKI zenu hilo msahau mtalia sana wenzenu wanafurahia kuwaona mkilia hivyo.

Tena mkiendelea kulala mafanikio mtaendelea kuyaskia kwa wenzenu wa Asia, Amerika na Ulaya kazi yenu itakuwa kuwakaribisha kwenu wakija kwa jina la 'wawekezaji/wahisani/wadau wa maendeleo'
emoji23.png
emoji23.png
hali wanakuja kuwatawala kwa mara nyingine tena.

Amkeni na chukueni hatua kulialia hakusaidii HAKI hutafutwa.

'MWANANGU MSHIKE SANA ELIMU NA USIMUACHE AENDE ZAKE '.

[HASHTAG]#HAKI[/HASHTAG].
 
Kwa hiyo na wewe ni msomi!
 
Jeshi limetuharibia watoto wetu, wamerudi wakiwa waoga na mazwazwa hawajitambui hata kidogo
 
Siku hizi wanachuo wenyewe ni vitoto vitoto tu, vingine hata havijavunja ungo, ambavyo enzi zetu vingekua kidato cha pili SAA hizi viko university.
 
Mkuu, tupe uzoefu wa nchi uliopo wanafanyaje mpaka wahitaji wote wa mikopo (elimu ya juu)wanapata
Wanatumia resources/revenue kwa kipaumbele kwenye elimu kwanza halafu mengine yanakwenda sawa.

Mfano Israeli hilo la elimu bora wanafanya vizuri sana
 
Ohh my God hii imeniuma sana. But try to provide a solution pls. Wengi n wahanga wa hili.
 
Wanatumia resources/revenue kwa kipaumbele kwenye elimu kwanza halafu mengine yanakwenda sawa.

Mfano Israeli hilo la elimu bora wanafanya vizuri sana
Wanatumia resources kwenye mfumo(elimu) kama huu wa kwetu au tofauti, au wamewekeza sana kwenye teknolojia.Ningependa utumie mfano wa nchi za/ya Afrika
 
Back
Top Bottom