Mikopo China, Watanzania tumezoea ulaghai

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Mentality ya waTanzania wengi ni kukopa bila ya kujua tutalipaje mkopo.

Hii ni mentality ya kijinga sana na ni moyo in built unaohalalisha ulaghai.

Anatoka kiongozi akijisifia kukopa mabilioni, lakini hana kabisa strategy ya namna ya kurudisha mkopo kwa vile moyoni anajua atamwomba aliyemkopesha amsamehe baada ya miaka mitano!

Nimeupenda msimamo wa China na mikopo.

Wachina wao wana msimamo kuwa usilete longo longo baada ya kula hela zetu, ama sivyo tunachukua dhamana ya mkopo.

Mbona hata mabenki yetu yanafanya vivyo?

Ukishindwa kulipa mkopo dhamana inaingia sokoni.

Sasa Serikali au wananchi wakilalamikia China, kwani hawalijui hilo?

Mkopo dawa yake ni kulipa si longolongo, China ni wakweli.
 
M7 alivyoona JPM analifufua shirika la ATCL akaingiwa na mzuka wa kufufua shirika la ndege la Uganda kwa gharama yoyote ile.... Matokeo yake ni yale yale ya kuiga tembo kunya, msamba haubaki salama!.

Kuna jambo la kujifunza hapa!,...awamu hii wimbo ni kukopa tu, kuomba misaada na ufadhili bila kuzingatia uwezo wetu wa kulipa... Vitatutokea puani miaka si mingi ijayo.
 
Magufuli alikopa sana ndani ya miaka 5
 
M7 alivyoona JPM analifufua shirika la ATCL akaingiwa na mzuka wa kufufua shirika la ndege la Uganda kwa gharama yoyote ile.... Matokeo yake ni yale yale ya kuiga tembo kunya, msamba haubaki salama!.

Kuna jambo la kujifunza hapa!,...awamu hii wimbo ni kukopa tu, kuomba misaada na ufadhili bila kuzingatia uwezo wetu wa kulipa... Vitatutokea puani miaka si mingi ijayo.
Umeongea neno mkuu.
Kukopa bila kujua utalipa vipi ni ukosefu wa kjipanga.
Kenya wenzetu wananchi kule walishapitisha petiton kuionya serikali yao kuacha kukopa kiholelea.
Leo Kenya wamekopa kujenga reli. akini namna ya kulipa ni chnagamoto.
Tukope tu lakini tjipange vile vile namna ya kulipa huo mkopo.
 
A loan is not a gift

images (15).jpeg
 
Mkopo anakopa kiongozi wananchi ndo wanalipa Mkopo thus awataki katiba mpya
 
M7 alivyoona JPM analifufua shirika la ATCL akaingiwa na mzuka wa kufufua shirika la ndege la Uganda kwa gharama yoyote ile.... Matokeo yake ni yale yale ya kuiga tembo kunya, msamba haubaki salama!.

Kuna jambo la kujifunza hapa!,...awamu hii wimbo ni kukopa tu, kuomba misaada na ufadhili bila kuzingatia uwezo wetu wa kulipa... Vitatutokea puani miaka si mingi ijayo.
Jpm nae aliiga Rwanda, madikteta ukopa Ili kupata sifa na sio kunufaisha walipa kodi
 
Unakopa Mkopo unaenda nunua wapinzani,rudia uchaguzi feki,jenga Chato pasipotija,kugharamia wasiojulikana.
Tulizoea za mabeberu hawa hawana shida bora tu uimarishe demokrasia.
 
Kweli , ukikopa ule mradi uliokopea lazima urudishe ule mkopo, la sivyo mtu anaiweka nchi rehani.
Wananchi tuamke.
Kukopa si vibaya ila tupange mipango vizuri ili mkopo ulipwe.
Wachina si wenda wazimu kumwaga pesa bure.
 
Back
Top Bottom