Mikopo China, Watanzania tumezoea ulaghai

Kweli , ukikopa ule mradi uliokopea lazima urudishe ule mkopo, la sivyo mtu anaiweka nchi rehani.
Wananchi tuamke.
Kukopa si vibaya ila tupange mipango vizuri ili mkopo ulipwe.
Wachina si wenda wazimu kumwaga pesa bure.
Utaamka vipi hali atushirikishwi kwenye kukopa bali kwenye kulipa
 
Mentality ya waTanzania wengi ni kukopa bila ya kujua tutalipaje mkopo.

Hii ni mentality ya kijinga sana na ni moyo in built unaohalalisha ulaghai.

Anatoka kiongozi akijisifia kukopa mabilioni, lakini hana kabisa strategy ya namna ya kurudisha mkopo kwa vile moyoni anajua atamwomba aliyemkopesha amsamehe baada ya miaka mitano!

Nimeupenda msimamo wa China na mikopo.

Wachina wao wana msimamo kuwa usilete longo longo baada ya kula hela zetu, ama sivyo tunachukua dhamana ya mkopo.

Mbona hata mabenki yetu yanafanya vivyo?

Ukishindwa kulipa mkopo dhamana inaingia sokoni.

Sasa Serikali au wananchi wakilalamikia China, kwani hawalijui hilo?

Mkopo dawa yake ni kulipa si longolongo, China ni wakweli.
Well said mkuu, mfano mzuri unahusu deni la reli ya TAZARA linalo fikia matrillion ya TSh, hivi sasa huu ni karibu mwaka wa 50 (hamsini) tangu watukopeshe fedha zao, mpaka sasa hatuja warudishia hata senti tano ya mkopo wao na wala hakuna dalili kwamba Serikali za Tanzania na Zambia zina mpango wa kuanza kupunguza walao deni - hakuna!! Hii ni wazi tunataka kutapeli Serikali ya Wachina fedha za walipa kodi wao.

Binafsi sina shaka kwamba utapeli tulio wafanyia Wachina kwenye suala la mkopo wa ujenzi wa TAZARA ndio ukiwafanya Wachina washtukie Serikali/Viongozi wa Afrika kwamba si binadamu wa kuamunika hawana ungwana, kwa minajiri hiyo uwezi kuwalahumu msimamo wa Wachina - kuna msemo wa kale unaosema kwamba: "Once bitten twice shy" ndio maana siku hizi Wachina hawatoi mkopo bila ya mdhamana "collateral" wa kuhakikisha deni lao litalipwa or else, as I said hakuna ambaye anaweza kuwalahumu Wachina kwa kuchukua uhamuzi huo, hata kwenye Benki zetu na za nje uwezi kupewa mkopo kama huna dhamana.

Kinacho sikitisha zaidi siku hizi baadhi ya Waafrika wamewageuzia kibao Wachina kwa kuwasema vibaya eti "Wachina ni wezi na matapeli, huo ni uongo mtupu wanao kalilishwa na propaganda za vyombo vya habari vya Mataifa ya magharibi, Waswahili hawakumbuki jinsi Taifa la Uchina linavyo saidia Bara la Afrika kimaendeleo, mbona mifano mingi ya kuthibitisha hilo tunayo, have we forgotten how western colonialists plundered Africa vast natural resources to build Europe and America giving nothing in return, unlike Chinese.
 
Mentality ya waTanzania wengi ni kukopa bila ya kujua tutalipaje mkopo.

Hii ni mentality ya kijinga sana na ni moyo in built unaohalalisha ulaghai.

Anatoka kiongozi akijisifia kukopa mabilioni, lakini hana kabisa strategy ya namna ya kurudisha mkopo kwa vile moyoni anajua atamwomba aliyemkopesha amsamehe baada ya miaka mitano!

Nimeupenda msimamo wa China na mikopo.

Wachina wao wana msimamo kuwa usilete longo longo baada ya kula hela zetu, ama sivyo tunachukua dhamana ya mkopo.

Mbona hata mabenki yetu yanafanya vivyo?

Ukishindwa kulipa mkopo dhamana inaingia sokoni.

Sasa Serikali au wananchi wakilalamikia China, kwani hawalijui hilo?

Mkopo dawa yake ni kulipa si longolongo, China ni wakweli.

Tatizo sio kukopa bila kujua utalipaje mkopo. Tatizo letu na Nchi nyingi Za Afrika ni kuingia makubaliano ya mikopo bila kuisoma na kuilelewa kwa umakini. Kifupi ukienda kule jamaa wanahakikisha wanakuweka sawa wewe au wote mnaokwenda ku saini hayo makubaliano mpaka mnajiona kama mmependelewa kupewa huo mkopo. Mnaacha kusoma vizuri, au kubisha mkiona clause za kipuuzi kwa kuona mtawachefua wakopeshaji, hapo sasa ndio yanakuja ya Uganda na Zambia.
 
Tunaongea kitu kile kile.
Ni kweli kabisa mswahili akishaambiwa weka sahihi hapa, na huku jana yake amekula mipombe na wanawake aliotegeshewa, tayari anaiweka nchi matatizoni.

Kutokusoma mkataba ni sehemu moja sehemu ya pili kwa uzuxu tu, kiongozi hajui fedha ya mkopo italipwaje na kwa utaratibu upi.
 
Mentality ya waTanzania wengi ni kukopa bila ya kujua tutalipaje mkopo.

Hii ni mentality ya kijinga sana na ni moyo in built unaohalalisha ulaghai.

Anatoka kiongozi akijisifia kukopa mabilioni, lakini hana kabisa strategy ya namna ya kurudisha mkopo kwa vile moyoni anajua atamwomba aliyemkopesha amsamehe baada ya miaka mitano!

Nimeupenda msimamo wa China na mikopo.

Wachina wao wana msimamo kuwa usilete longo longo baada ya kula hela zetu, ama sivyo tunachukua dhamana ya mkopo.

Mbona hata mabenki yetu yanafanya vivyo?

Ukishindwa kulipa mkopo dhamana inaingia sokoni.

Sasa Serikali au wananchi wakilalamikia China, kwani hawalijui hilo?

Mkopo dawa yake ni kulipa si longolongo, China ni wakweli.
Mama katoka huko juzi , na Leo Zuhura Yunus anatamba Ikulu
 
Back
Top Bottom