Mikoa yenye mabilionea wa ukweli ni ipi??

mkuu ni vizuri kuwajua ili tukusanye kodi vizuri

Kodi unamkusanyia nani??

Unataka kuchukua pesa za watu na kuwakabidhi watalii wa magogoni?

Kila mtu atafute hela yake na atanue anavyotaka....

Mchezo wa kuwaibia watu hapana bwana...

Babu DC!!
 
Arusha ukiwa na kigorofa stendi na xv wewe ni bilionea. Hata Iringa kuna mabilionea wako kimyaa tu akina, pirlo mohamed, asas, st abri, kt abri, fm abri, kuna waarabu wana pesa ndefu balaa sio arusha, nilikwepo hulo mwezi wa tisa kila gorofa unaloliona unaambiwa jamaa ni freemason hahaaa arusha bana

xv ndo nini kaka...????
 
aaaah kumbe wengi wako arusha eeeh ngoja niende huko labda naweza kumpata bilionea mmoja
 
Arusha oye...
Kweli Lakini :bored:... Manji, Rostam, Mengi, Karamagi, na Bakharesa bila kumsahau Riz1 na Ruge Hawa si wanakaa Atown

:welcome: Dar es Salaam :welcome: Tanzania. Tunawakaribisha wale woote wenye kuelemewa na ulimbukeni :A S-confused1:
Wazeee wa DSM wazeee wa jiji tuna wapigia Dar... then :plane: tunakuja kutumia kwenu Arusha
mnabaki nazo nyie mnajiita mabilionea. sie aka wazaramo sie :tape:
 
hapo kwa ruge na mashaka au ulitaka kusema aden rage?
 
Back
Top Bottom