Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
mabilionea wa tanga wanapenda nini?
Supu ya pweza.....
Umesahau kwamba baada ya kazi nzito kinachofuata ni mavuno??
Babu DC!!
mabilionea wa tanga wanapenda nini?
mkuu ni vizuri kuwajua ili tukusanye kodi vizuri
Arusha ukiwa na kigorofa stendi na xv wewe ni bilionea. Hata Iringa kuna mabilionea wako kimyaa tu akina, pirlo mohamed, asas, st abri, kt abri, fm abri, kuna waarabu wana pesa ndefu balaa sio arusha, nilikwepo hulo mwezi wa tisa kila gorofa unaloliona unaambiwa jamaa ni freemason hahaaa arusha bana
Kinyume cha vx!xv ndo nini kaka...????
mabilionea wa ukweli ni Dar na mabillionea wa uongo Arusha
hivi bilionea yahaya anaishi wapi?
Wapi bilionea Arushaone mume ya Lady doctor, bilionea papaa Filipo, Kaizer , LiverpoolFC na kati ya Arusha..
watuwache "mabilionea" tupumuwe!
duuh! Kwani mabilionea wa tanga ni goigoi! Au stayle ya maisha....
Arusha oye...
Kweli Lakini :bored:... Manji, Rostam, Mengi, Karamagi, na Bakharesa bila kumsahau Riz1 na Ruge Hawa si wanakaa Atown
:welcome: Dar es Salaam :welcome: Tanzania. Tunawakaribisha wale woote wenye kuelemewa na ulimbukeni :A S-confused1:
Wazeee wa DSM wazeee wa jiji tuna wapigia Dar... then lane: tunakuja kutumia kwenu Arusha
mnabaki nazo nyie mnajiita mabilionea. sie aka wazaramo sie :tape: