Mikoa yenye mabilionea wa ukweli ni ipi??

Wamewekaza ktk bastola. funguo za bandia. mikopo ya ribas. siasa uchwara. dhuluma ktk madini. viwanja kufisadia ktk halmashauri haswa miradi. viungo vya binadamu miongoni mwao albino. Kuna mengi na wamejificha kama wafanyabiashara ingia ktk web s utaona mabilionea WA kiukweli. so isifananishe ubilionea na mporaji
 
mabilionea wa ukweli ni Dar na mabillionea wa uongo Arusha

Ni kweli kabisa.Mabilionea wa Arusha watu huwapima kwa uwezo wao wa kununulia bia,viroba na nyama choma watu kwenye kwenye vi-grocery na vi-club vya arusha wakihama hama toka ki-grocery hiki kwenda kingine.

Dar mabilionea wake wana makampuni ambayo vitabu vya hesabu zao vinakaguliwa na wakjaguzi wa kueleweka na wanalipa kodi .

Ukiangalia Ripoti za kodi mabilionea wa Arusha wako nyuma kuliko hata mikoa chovu.Kuna ripoti ya TRA ilitoka ilionyesha Arusha inaachwa hata na mikoa kama Shinyanga na MBEYA kama sikosei.Kodi kidogo ina maana mtu ana mapato kidogo.Dar es salaam wafanyabishara mabilionea wake wanaongoza kulipa kodi.Mabilionea wengi wa Arusha wakiona Afisa wa TRA anawajia wengi wanafunga maduka na ofisii na kutokomea gizani kusikojulikana!

Ubilionea wa mtu haupimwi BAR na uchangiaji michango ya Harusi na Misiba kama watu wapimavyo arusha kupima mtu kama anazo au hana.Dar wapo akina bakhresa hawajui hata bar iko wapi lakini ni mabilionea wa uhakika.

Arusha kuna "show off bilionnaires" wa kwenye mabar na sehemu za starehe.
 
Mabilionea wa ukweli wako Arusha, achana na wa Dar wanaouza juice. Afu Money Stunna una nini na Arusha? Let the truth prevail bhana.

Kweli chalii!.. maana kama Mengi angekuwa chalii ya ARA CHUGA asingeambiwa na PROF. MUHONGO maneno yale. Namaanisha kama Prof. Muhongo angetoa kauli ile kwa mabilionea wa Ara Chuga wakemkanda kama unga wa ngano wamkaange kama chapati za AZAM.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeniacha hoi!
Wamewekaza ktk bastola. funguo za bandia. mikopo ya ribas. siasa uchwara. dhuluma ktk madini. viwanja kufisadia ktk halmashauri haswa miradi. viungo vya binadamu miongoni mwao albino. Kuna mengi na wamejificha kama wafanyabiashara ingia ktk web s utaona mabilionea WA kiukweli. so isifananishe ubilionea na mporaji
 
Yaani mnataka muwaue wote wa arusha??? Mnaona kama wanawafadhiri CDM vile, Mungu tuepushe Na haya majangiri. Swali linalofuata ni tajeni majina then wanakaa sehemu gani harafu muwaue.
 
Ni kweli kabisa.Mabilionea wa Arusha watu huwapima kwa uwezo wao wa kununulia bia,viroba na nyama choma watu kwenye kwenye vi-grocery na vi-club vya arusha wakihama hama toka ki-grocery hiki kwenda kingine.

Dar mabilionea wake wana makampuni ambayo vitabu vya hesabu zao vinakaguliwa na wakjaguzi wa kueleweka na wanalipa kodi .

Ukiangalia Ripoti za kodi mabilionea wa Arusha wako nyuma kuliko hata mikoa chovu.Kuna ripoti ya TRA ilitoka ilionyesha Arusha inaachwa hata na mikoa kama Shinyanga na MBEYA kama sikosei.Kodi kidogo ina maana mtu ana mapato kidogo.Dar es salaam wafanyabishara mabilionea wake wanaongoza kulipa kodi.Mabilionea wengi wa Arusha wakiona Afisa wa TRA anawajia wengi wanafunga maduka na ofisii na kutokomea gizani kusikojulikana!

Ubilionea wa mtu haupimwi BAR na uchangiaji michango ya Harusi na Misiba kama watu wapimavyo arusha kupima mtu kama anazo au hana.Dar wapo akina bakhresa hawajui hata bar iko wapi lakini ni mabilionea wa uhakika.

Arusha kuna "show off bilionnaires" wa kwenye mabar na sehemu za starehe.

hahahaha
 
Yaani mnataka muwaue wote wa arusha??? Mnaona kama wanawafadhiri CDM vile, Mungu tuepushe Na haya majangiri. Swali linalofuata ni tajeni majina then wanakaa sehemu gani harafu muwaue.

mkuu ni vizuri kuwajua ili tukusanye kodi vizuri
 
Arusha ukiwa na kigorofa stendi na xv wewe ni bilionea. Hata Iringa kuna mabilionea wako kimyaa tu akina, pirlo mohamed, asas, st abri, kt abri, fm abri, kuna waarabu wana pesa ndefu balaa sio arusha, nilikwepo hulo mwezi wa tisa kila gorofa unaloliona unaambiwa jamaa ni freemason hahaaa arusha bana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom