MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,259
Arusha - SUBARU FORESTER + BASTOLA = BILIONEA.
Mabilionea wa ukweli wako Arusha, achana na wa Dar wanaouza juice. Afu Money Stunna una nini na Arusha? Let the truth prevail bhana.
Mabilionea nchi hii
Wanatokea Mara
Je wamewekeza katika nini??
hivi bilionea yahaya anaishi wapi?
vp makete kwa wakinga huko.hakuna mabilionea.naskia mtaa wa agrey na kongo pale kkoo maduka mengi ni yao.
Wakuu naombwa kujuzwa katika nchi yetu ya tanzania je kuna mikoa gani ambayo ndani yake kuna wapiganaji na mabilionea wa ukweli? ?
Mikoa yote yenye Madini wapo Matajiri wengi sana husani kanda ya Ziwa Mwanza Bukoba Mara na Shinyanga Pia kanda ya kasikazini Moshi na Arusha huku Wakinga na waarabu nao wakitisha kwa kasi zao Tembelea Masaki Mikochen mbezi Kunduchi bahari beach Ununio nk Wamiliki wa Majumba ya kifahari wote si wazaliwa wa Pwani kila Kabila wana mbinu zao za kusaka mkwanja Mfano Wapemba wanabidii sana kwenye Used Equipment na maduka Pia wakinga ni wajanja kupindukia Huku Wachaga na Wahaya Wakitumia zaidi Elimu zao na Ufisadi kidogo changanya na Bidii na mbinu za kisasa kwenye biashara Wasukuma wao ni wakulima wazuri wa pamba na mpunga Pia mahindi plus Uvuvi na Madini wapo vizuri kiuchumi huku wakinufaika na Kuwa na Hazina kubwa ya Viongozi ktk Serikari Kama ilivyo kwa Wenzao wa Mara .
mmeaua wa arusha sasa mnatafuta masalia muwaue sio?
mmeaua wa arusha sasa mnatafuta masalia muwaue sio?
Mabilionea wa ukweli wako Arusha, achana na wa Dar wanaouza juice. Afu Money Stunna una nini na Arusha? Let the truth prevail bhana.