Elections 2010 Mikoa ya Kuamshwa 2015

mudushi

Senior Member
Oct 19, 2010
151
84
Ndugu wanajamiiforums nina maoni yafuatayo kuhusu uchaguzi wa 2015:

1) CCM wamechakachua matokeo ktk majimbo ambayo CHADEMA ilishinda km TARIME, KIBAHA, S'WANGA, SEGEREA, K'MBONI, SHY nk. Sasa CHADEMA waende mahakamani.
2) Kuna mikoa inahitaji OPERATION ZINDUKA. Hii ni mikoa ambayo wananchi wake wako nyuma kimaendeleo km vile Morogoro, Singida, Tabora, Ruvuma, Mtwara, Lindi na Kibaha
3) Wananchi wajitokeze kuichangia CHADEMA kwa HALI na MALI.

CHADEMA ni MKOMBOZI WA WANANCHI na TANZANIA
 
Sema Pwani sio Kibaha
On a serious note iyo mikoa kuna haja ya kuwa na special campaign
 
Naona ule wimbo wa Mwaitege "NJOO UFANYIWE MAOMBI" kuna haja ya kupeleka CD na TAPE za bure uku
 
Criticism We Kafiri vipi? Kwa Mungu tuna Wokovu. Ukombozi ni kumtoa mtu kutoka kwa Mafisadi kama vile CCM.
 
Ndugu wanajamiiforums nina maoni yafuatayo kuhusu uchaguzi wa 2015:

1) CCM wamechakachua matokeo ktk majimbo ambayo CHADEMA ilishinda km TARIME, KIBAHA, S'WANGA, SEGEREA, K'MBONI, SHY nk. Sasa CHADEMA waende mahakamani.
2) Kuna mikoa inahitaji OPERATION ZINDUKA. Hii ni mikoa ambayo wananchi wake wako nyuma kimaendeleo km vile Morogoro, Singida, Tabora, Ruvuma, Mtwara, Lindi na Kibaha
3) Wananchi wajitokeze kuichangia CHADEMA kwa HALI na MALI.

CHADEMA ni MKOMBOZI WA WANANCHI na TANZANIA

Na TANGA.....toka 1970s hakuna maendeleo lakini kila uchaguzi CCM wanashinda 100
 
Morogoro ni mkoa tajiri lakini watu huko wanaishi maisha ya kimaskini. Mpaka Kigoma wanawapiga bao.
 
Chadema ni chama cha vurugu.
Nawashauli jiungeni na chetu cha CUF kimejaa heshima
 
Muheza.....ndio home
Unasemaje??
Lushoto Jana ITV wanalalamika kuwa Shekifu hajafanya lolote miaka yote lakini tumempa tu basi,
Hii ni akili au matope!
Huko handeni je? watu hooooooooooooooooooi lakini bado wameng'ng'ania misumari kichwani
 
Chadema ni chama cha vurugu.
Nawashauli jiungeni na chetu cha CUF kimejaa heshima
Vurugu gani unazungumzia! kudai haki au?
CUF ndo washika mapanga?
Ungejua kuwa hicho ndo kinamweka pabaya Prof Lipumba usingesema kabisa.
 
Morogoro inatia aibu. Mie natoka mkoa huo lakini kwa swala la kusinzia ndo tunaongoza. Wanachofanya CCM mikoa yote wanayopata kura nyingi huwa hawapeleki miradi yoyote ya maendeleo. Barabara ya Kidatu - Ifakara - Mahenge mpaka leo hii ni ya vumbi na wakati wa masika ni shughuli pevu. Ukija uchaguzi kura zote kwa CCM. Shame on us!
 
Imelala dolo, imelala hiyo, imelala hiyo mitalimbo, imelala dolo. Ruvuma, Mtwara, Pwani, Tanga na Tabora kwa uchaguzi wa mwaka huu ni mitalimbo iliyolala. Lakini ogopa aliyelala akiamuka akakuta unamg'ong'a, ama zake au zake. NI lazima watakuwa macho mwaka 2015.
 
Ndugu wanajamiiforums nina maoni yafuatayo kuhusu uchaguzi wa 2015:

1) CCM wamechakachua matokeo ktk majimbo ambayo CHADEMA ilishinda km TARIME, KIBAHA, S'WANGA, SEGEREA, K'MBONI, SHY nk. Sasa CHADEMA waende mahakamani.
2) Kuna mikoa inahitaji OPERATION ZINDUKA. Hii ni mikoa ambayo wananchi wake wako nyuma kimaendeleo km vile Morogoro, Singida, Tabora, Ruvuma, Mtwara, Lindi na Kibaha
3) Wananchi wajitokeze kuichangia CHADEMA kwa HALI na MALI.

CHADEMA ni MKOMBOZI WA WANANCHI na TANZANIA

CCM wamechakachua pia Kigoma Mjini umesahau!
 
Na special campaigns inabidi zianze immediately, sasa hivi. Kwanza kwa viongozi wa chama kuingia mitaani mijini na vijijini kuwaweka wananchi sawa juu ya nini wanatakiwa kupata toka kwa viongozi waliopewa dhamana. Kwa muda mrefu sasa CCM imekuwa ikifaidi mtaji unaotokana na ujinga wa watanzania walio wengi. Ndiyo maana inazidi kuupalilia ujinga kwa kuendesha mipango ya elimu zisizo na tija ili watu wengi waendelee kuwa wajinga, wanaoamini kuwa kusema CCM ndiyo kama umesema Tanzania. Wanaoamini Nyerere bado ni Raisi wetu na wanaoamini kuwa bila CCm Tanzania itakuwa na vita. Lazina CCM waelewe hata hivyo kuwa ujinga si kilema cha kudumu. watu wakielimishwa wanatoka katika lindi la ujinga na ndio hicho inabidi kifanyike. Hadi sasa dalili ni njema maana hali ya 2005 na sasa ni tofauti, watu wameanza kuelewa japo juhudi zaidi inahitajika. Pamoja na viongozi kuendesha kampeni kuanzia leo hadi uchaguzi wa 2015, sisi sote wapenda maendeleo na neema kwa Tanzania inabidi tuingie mitaani pale tulipo kwa mtu mmoja-mmoja au hata vikundi kueneza ujumbe wa sababu za mabadiliko, huku tukiwakumbusha wananchi kufuatilia utekelezaji wa ahadi zote zilizotolewa na CCM wakati wa kampeni ili wakati wa kampeni zijazo CCM ikisema tumetimiza ahadi ZETU ZOTE asilimia 100 tuwe na 'data' za kuhoji vinginevyo.

Napenda kuwasilisha wadau!!
 
Back
Top Bottom