Mikoa ya baridi inawahusu hii

Nami kutoka mbeya
IMG-20190516-WA0062.jpeg
 
Uku Chuga mbona atufanyi ivo?Ukifika unasimama usawa wa Bomba then unafumba macho alafu unahesabu 123 unafungulia Bomba whaaaaaa.!!baada ya hapo hujifuti na taulo ila unajitikisa kama Mbwa hadi unakauka.
 
unajikung'uta kama mbwa...
 
Niliifanya sana kipindi mdogo wakati nakaa ule mji wenye baridi.

Uuwiii. Yaani nikitoka tena Mama ndio awe kakaa ninapopita basi najitetemesha na kujikunyata kama mwili mzima umepata maji vile. 😀😀😀
 
Huko ulikosema unajikumuta kama mbwa. í ½í¸í ½í¸í ½í¸ Enzi hizo niko Primary. Uuwiii sikuwa naweza kabisa hasa asubuhi tena ile miezi ya baridi.
Labda yawepo maji ya moto.
Duuuh ni kisanga robo3 asee..!!Mwezi wa6,7 tulikua tunashinda na Ma blacket tu yaani baridi ni atari sana.
 
Uku Chuga mbona atufanyi ivo?Ukifika unasimama usawa wa Bomba then unafumba macho alafu unahesabu 123 unafungulia Bomba whaaaaaa.!!baada ya hapo hujifuti na taulo ila unajitikisa kama Mbwa hadi unakauka.
Hahahahaa we jamaaa hatari sana
 
Uku Chuga mbona atufanyi ivo?Ukifika unasimama usawa wa Bomba then unafumba macho alafu unahesabu 123 unafungulia Bomba whaaaaaa.!!baada ya hapo hujifuti na taulo ila unajitikisa kama Mbwa hadi unakauka.
Eti unajitikisa kama mbwa we jamaa fala sana
:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom