EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,514
- Thread starter
- #21
you are very rightHii amechora waziri kigwangala
ila hajaichora aliipost fb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you are very rightHii amechora waziri kigwangala
Hii amechora waziri kigwangala
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
bi mkubwa umeanza utani lini??
Hehehehee hata sitanii dokta, kweli tenaa... You have nice sketches.
Nouma saaanaNami kutoka mbeyaView attachment 1144988
Mbeya mchana wa leo
View attachment 1143785
unajikung'uta kama mbwa...Uku Chuga mbona atufanyi ivo?Ukifika unasimama usawa wa Bomba then unafumba macho alafu unahesabu 123 unafungulia Bomba whaaaaaa.!!baada ya hapo hujifuti na taulo ila unajitikisa kama Mbwa hadi unakauka.
Yap mpaka unakauka yaaniunajikung'uta kama mbwa...
Hahaha Noma sana Shadeeya!Mkoa gani huo?Niliifanya sana kipindi mdogo wakati nakaa ule mji wenye baridi.
Uuwiii. Yaani nikitoka tena Mama ndio awe kakaa ninapopita basi najitetemesha na kujikunyata kama mwili mzima umepata maji vile. í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Huko ulikosema unajikumuta kama mbwa. 😀😀😀 Enzi hizo niko Primary. Uuwiii sikuwa naweza kabisa hasa asubuhi tena ile miezi ya baridi.Hahaha Noma sana Shadeeya!Mkoa gani huo?
Duuuh ni kisanga robo3 asee..!!Mwezi wa6,7 tulikua tunashinda na Ma blacket tu yaani baridi ni atari sana.Huko ulikosema unajikumuta kama mbwa. í ½í¸í ½í¸í ½í¸ Enzi hizo niko Primary. Uuwiii sikuwa naweza kabisa hasa asubuhi tena ile miezi ya baridi.
Labda yawepo maji ya moto.
Hakufai huko.Duuuh ni kisanga robo3 asee..!!Mwezi wa6,7 tulikua tunashinda na Ma blacket tu yaani baridi ni atari sana.
Hahahahaa we jamaaa hatari sanaUku Chuga mbona atufanyi ivo?Ukifika unasimama usawa wa Bomba then unafumba macho alafu unahesabu 123 unafungulia Bomba whaaaaaa.!!baada ya hapo hujifuti na taulo ila unajitikisa kama Mbwa hadi unakauka.
Eti unajitikisa kama mbwa we jamaa fala sanaUku Chuga mbona atufanyi ivo?Ukifika unasimama usawa wa Bomba then unafumba macho alafu unahesabu 123 unafungulia Bomba whaaaaaa.!!baada ya hapo hujifuti na taulo ila unajitikisa kama Mbwa hadi unakauka.