Mkuu mbona Unaguna tenaMmmmmh
Katika kazi za kutumia nguvu kwenye utafutaji wa maisha.Mkuu ujasiri gani huo? fafanua tumuelewe
Unaogopa kusema ya zitto lema msigwa asipotezwe!Katika kazi za kutumia nguvu kwenye utafutaji wa maisha.
Comment hii yaweza kukupatia ukuu wa mkoa!Ongezea na mkoa wa Geita halafu ingia hapo wilaya ya Chato!
Nimetafuta nao maisha kuanzia machimboni hadi mashambani, Hiyo mikoa wako vizuri kwenye kazi . dume halionji dume jenzieUmewaonja? Zunguka bado haujamalza Tz yote
tunaomba data please!!! utafiti nk.Wakuu Salaam kwenu.
Mikoa tajwa Hapo juu Ndio hutokea wanaume majasiri kwa asilimia kubwa lakini mikoa iliyobaki ujasiri Upo lakini kwa kiwango kidogo . sijui kwa nini?
Geita ya Leo Ndio Mwanza yote hiyoOngezea na mkoa wa Geita halafu ingia hapo wilaya ya Chato!
Hapa Hakuna siasa mkuu Ni ujasiri wa kaziUnaogopa kusema ya zitto lema msigwa asipotezwe!
Kazi za utafutaji wa maisha au pesaUjasiri Wa kufanya nini
Kuwa specific
Uko sahihi nikikumbuka siku niliyo kutana na majini mwaka 2005 halafu sikuinua mguu kukimbia kabisa!!!Wakuu Salaam kwenu.
Mikoa tajwa Hapo juu Ndio hutokea wanaume majasiri kwa asilimia kubwa lakini mikoa iliyobaki ujasiri Upo lakini kwa kiwango kidogo . sijui kwa nini?