Mikoa ya Arusha, Mbeya, Mwanza, Mara, Iringa na Kigoma Ndio yenye wanaume majasiri

Aaaaaahaaaah!!!! ndo maana...!!!!
Kanda ya ziwa ndiko mizizi ya CCM ilipo.....

Uongozi CCM
- Mwenyekiti wa chama.
- Katibu mkuu bara.
- Katibu muenezi.
-
Hii hoja kuna siku itashika kasi kama ile ya chama kingine kwamba mwenyekiti katibu mweka hazina-kaskazini
 
Mmmhhhh kwa iringa sidhani naoana umekosea bana iringa wanaujasiri gani zaidi ya umwinyi2 tu
 
Utawasahauje watu wa Simiyu (Wanyatuzu) hawa kazi za machimbo za kwao kila sehemu ambayo chimbo nimewaka utawakuta na very harsh sana hata mkurya hafui dafu na mafaita kweli kusaka mapene
 
Wakuu Salaam kwenu.
Mikoa tajwa Hapo juu Ndio hutokea wanaume majasiri kwa asilimia kubwa lakini mikoa iliyobaki ujasiri Upo lakini kwa kiwango kidogo . sijui kwa nini?
Utafiti wako umeufanya kwa mda gani,,na kwa vigezo vipi ulivyovitumia.....
 
Sema ukweli ni mikoa yenye wanaume wenye Roho mbaya
Maana hata leo ilitangazwa na watu wa haki za binadamu kuwa nimikoa nane hatari kwa kuishi
 
Back
Top Bottom