Mikoa tajiri Tanzania kwa mujibu wa BOT

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
kwa mujibu wa ripoti ya benk kuu ya Tanzania(BOT), DSM ndo mkoa unaongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar ess Salaam(GDP 7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP 4.09 )
3. Mbeya(GDP3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arush(GDP 2.1 trilion)
8. Tanga(GDP 2.09 trilion)
9. Kilimanjaro(GDP 2.03 trilion )
swali: kwanin Arusha haipo top 3 katika mikoa tajiri kwenye kuchangia pato la taifa? Inaonekana makampuni mengi yanamilikiwa na wageni au mengi yanatoka mkoa wa DSM
source: the citizen
 
Hii ni kwa mujibu ya makusanyo ya TRA, lakini kumbuka DSM ina 10% population ya nchi nzima. Halafu mikoa mingi uchumi wake haujarasimishwa hivyo kukosa takwimu zinazochangia GDP.
 
Mabilionea wa Arusha wako wanachangia nini kwa taifa? Moshi nako Mmmhhh usione ukubwa wa tembo ............
 
Ni mikoa tajiri ama ni mikoa inayoongoza kwa kuinufaisha nchi huku yenyewe na watu wake wakiachwa maskini wa kupitiliza?

Hebu angalia Shinyanga iko nafasi ya ngapi alafu nenda kaangalie mikoa inayoongoza kwa umaskini na njaa Shinyanga ya kwanza,hizi data huwa ni upuuzi tu wala hazimsaidii mwananchi mlalahoi
 
Mabilionea vipi? Mbona wako mbali sana au hawalipi kodi?
 
Mwakyembe oyeeeeeeee???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
manyara wamepunguza stake ya mkoa, kabla ukijumuisha yote Arusha ingekua hapo 3, matokeo ya kugawa mkoa hayo
 
Arusha?; Monduli na Kiteto ni ukame mtupu. Maeneo makubwa yako chini ya mbuga za utalii na misitu ya hifadhi wakati pesa ya hutalli huishia kuliwa na bodi na Mawakala/ Mahoteli Kenya. Mifugo yao pia huuzwa na kurekodiwa masoko ya DSM na Kenya.

Tanzanite nayo nayo huuzwa sana na Masoko ya Kagakigali na UhuruNairobi

Change / Mabadiliko ni mimi!
 
kwa mujibu wa ripoti ya benk kuu ya Tanzania(BOT), DSM ndo mkoa unaongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar ess Salaam(GDP 7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP 4.09 )
3. Mbeya(GDP3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arush(GDP 2.1 trilion)
8. Tanga(GDP 2.09 trilion)
9. Kilimanjaro(GDP 2.03 trilion )
swali: kwanin Arusha haipo top 3 katika mikoa tajiri kwenye kuchangia pato la taifa? Inaonekana makampuni mengi yanamilikiwa na wageni au mengi yanatoka mkoa wa DSM
source: the citizen
Huu ni mkoa mpya? Au ni ule unaoongoza kwa kuwa na mabilionea Tanzania!!??
Mji kasoro Bahari hawavumi lakini wamo.
 
Nakubaliana na statistics hiyo kwa maana ya mikoa. Wengine wanasema mbona Arusha haimo katika tano bora wanasahau mkoa wa Arusha ni mkoa wa wafugaji wa kuhamahama na wanaotegemea mifugo na kwa hiyo uchumi wake kimkoa unamezwa na hali hiyo. Mikoa kama Shinyanga unakuwemo kwa sababu ya utajiri wa madini kilimo hasa cha pamba, Iringa hivyo Morogoro na Tanga. Wangesema majiji tajiri sidhani kama Arusha itakosa katika namba ya tatu baada ya Dar na Mwanza. Mtoa hoja kawaulize majiji Tajiri utapata jibu

Back
Top Bottom